Omba msimpate rais ambaye anafikiria 'interest' na maslahi yake tu!

Chikenpox

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2022
Posts
784
Reaction score
1,246
Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii:

Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu.

Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali maslahi kwa watu wengine.

Ni mtu anayependa kusifiwa sana hata kama anajua watu wanakufa kwa njaa au hawana ajira kabisa yeye hajali ilimradi anasifiwa kwamba anupiga mwingi.

Ni mtu wa kupenda publicity ya watu maarufu sana nyie wadogo hata mfe shauri yenu.

Ki ufupi Samia ni self centered.
 
Ukweli mtupu.
 
Kitendo cha Rais Samia kupatana na chadema, kuna watu wamechukia sana,na hawa ni machawa wote ambao wanaona Siasa ikiwa na uwanja mpana watakosa ulaji
Hatuwezi kuishi kwa siasa tu Kuna mambo mengi yanatakiwa kufanywa kwa maslahi ya umaa. Siasa ni segment ndogo sana na inawanufaisha tu wale wachache ambao tayari ni wanasiasa. Kuna wengine na kwakweli ndo wengi, hatuna traits za siasa kabisa
 
Wewe unaona ni kitu gani ambacho Samia Suluhu kama Mheshimiwa wa Rais wa Nchi na Taifa letu hajafanya na alitakiwa akifanye!!??
Ajira. Ondoa bodaboda mtaani wape ajira za kudumu wakiugua wajua ajira ndo security Yao. Mpaka Leo walimu na madaktari wamejazana mtaani wamemaliza five or 3 years mavyuoni eanshindia konyagi tu mtaani hatima ya maisha Yao imetoweka halafu yeye anaongeza tu trivial issues.
 
Bado mnawaza serikali iendelee kuwa ni muajiri Mkuu? Sekta binafsi iliyouawa na Rafiki yenu ndiyo ilitakiwa iajiri vijana wengi sana.

Halafu boda boda wangapi wana sifa za kuajiriwa!!??
 
Serikali ndo mwajiri mkuu ndiyo katiba inavyosema na ni moja ya core functions ya serikali. Hii ni effect ya serikali kutojua ifanye nini na haijui majukumu yake pia. Majukumu siyo kupatana wanasiasa wasaka tongue. Serikali makini inaangalia ustawi wa jamii na ajira ndo ustawi wenyewe.
 
Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii:

Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu.

Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali maslahi kwa watu wengine.

Ni mtu anayependa kusifiwa sana hata kama anajua watu wanakufa kwa njaa au hawana ajira kabisa yeye hajali ilimradi anasifiwa kwamba anupiga mwingi.

Ni mtu wa kupenda publicity ya watu maarufu sana nyie wadogo hata mfe shauri yenu.

Ki ufupi Samia ni self centered.
Unamzungumzia Marehemu Mwendazake au nani?
Maana hizo sifa zinamuhusu wakati akiwadanganya wanyonge
 
Angalau kipindi chake mia tano ilikuwa inaweza kununua kitu lakini kipindi hiki miatano hainununui kitu kabisa
 
Kwanza una elimu Gani mana hata katiba yenyewe huijui. What are the functions of the government?
Viingereza vya nini tena!!??

Wewe kitaje hicho kifungu cha Katiba kinachosema kwamba Serikali ndiyo inatakiwa iwe muajiri mkuu!!
 
Ajira. Ondoa bodaboda mtaani wape ajira za kudumu wakiugua wajua ajira ndo security Yao. Mpaka Leo walimu na madaktari wamejazana mtaani wamemaliza five or 3 years mavyuoni eanshindia konyagi tu mtaani hatima ya maisha Yao imetoweka halafu yeye anaongeza tu trivial issues.
Hilo nalo unamlaumu Samia tu, vipi kuhusu watangulizi wake ?.... unadhani ni jambo rahisi la kutatua usiku mmoja tu ?..

Acha lawama zisizo na msingi.
 
Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii:

Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu.

Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali maslahi kwa watu wengine.

Ni mtu anayependa kusifiwa sana hata kama anajua watu wanakufa kwa njaa au hawana ajira kabisa yeye hajali ilimradi anasifiwa kwamba anupiga mwingi.

Ni mtu wa kupenda publicity ya watu maarufu sana nyie wadogo hata mfe shauri yenu.

Ki ufupi Samia ni self centered.
Asili ya Mwanamke ni ubinafsi, ndiyo maana Mungu alisema awe msaidizi na asiwe kichwa,(rejea nyumbani kwako, Mwanamke anaweza kuwa na laki moja lakini akamuomba Mwanaume mia tano ya chumvi)Kumpa nchi Mwanamke ambayo katiba yake imetoa mamlaka makubwa kwake ni hatari,nadhani wengi wanafananisha na mataifa ya Magharibi kuwa mbona wanawake wanaongoza,ni kweli lakini wenzetu wana mifumo imara ambayo imetawanya madaraka kwa kiwango kikubwa na sio centralization system kama ya Tanzania.Nchi za wenzetu ata ukimpa chizi mambo yanaenda,nadhani tuliona utawala wa Trump jinsi alivyokuwa anarudishwa kwenye mstari na mfumo mara kadhaa akikengeuka!
Sasa Tanzania Rais anateua mpaka Mkurugenzi Mkuu wa Shirika au kampuni ya umma!!
 
Viingereza vya nini tena!!??

Wewe kitaje hicho kifungu cha Katiba kinachosema kwamba Serikali ndiyo inatakiwa iwe muajiri mkuu!!
A stupid question should always receive a stupid answer. Mi nimekuuliza serikali Ina kazi Gani? Unless hata mama mwenyewe haelewe kazi za serikali ndo mana anaona kundi kubwa la vijana mtaani wanalandlanda yeye anaona poa tu Bora akapatane na mbowe ambaye ni tajiri tayari. Hili ni bomu in future na vikundi vya kigaidi Huwa vinaanza hivihivi kwa vijana kukosa ajira na serikali inachukulia poa yaani inaona siyo jukumu lake
 
Back
Top Bottom