Omba msimpate rais ambaye anafikiria 'interest' na maslahi yake tu!

Sasa we mjinga Mambo gani yaliyosimama . Kama ni elimu watoto wenu mnaoo zaa Kama panya siwanalipiwa ada na kujengewa madarasa. Wakulima sunawapewa mbolea ya ruzuku. Miradi ya jiwe wenu sii inaendelezwa, Wafanyakazi si kila mwezi wanalipwa. Mambo gani hayafanyiki ebu twambie ewe mja ulie jitia upofu
Ajira imepewa kisogo as if siyo kazi ya serikali. Au kama ccm imeelemewa basi iachie ngazi
 
Kazi kuu za serikali Duniani kote ni KUWALINDA na KUWAENDELEZA watu wake.Utawaendeleza vipi watu?ni kwa kuhakikisha wanapata mahitaji yote muhimu;ni ili wayapate sharti wawe na Elimu bora na ajira za heshima na siyo kazi kama za Bodaboda.
Na ndiyo maana ata kwenye siasa za Marekani huko walikoendelea,utasikia sana ahadi ya ajira kwa raia wake kwa maana ni wajibu wa serikali kuhakikisha watu wake wana ajira nzuri.
Acheni kumdanganya Bibi yenu wa Kikwajuni!
Sasa wewe mjinga unataka raisi aajili watu wote? Akisema amefungua nchi wawekezaji wanakuja. Mnapaaza sauti kuwa kaleta wezi kuchota mali za nchi. Mbona hamna jema nyinyi watanzania
 
H
Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii:

Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu.

Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali maslahi kwa watu wengine.

Ni mtu anayependa kusifiwa sana hata kama anajua watu wanakufa kwa njaa au hawana ajira kabisa yeye hajali ilimradi anasifiwa kwamba anupiga mwingi.

Ni mtu wa kupenda publicity ya watu maarufu sana nyie wadogo hata mfe shauri yenu.

Ki ufupi Samia ni self centered.
Ahahah mbona mapema hivyo?😅mama anaupiga mwingi kwelikweli🏃
 
Sasa wewe mjinga unataka raisi aajili watu wote? Akisema amefungua nchi wawekezaji wanakuja. Mnapaaza sauti kuwa kaleta wezi kuchota mali za nchi. Mbona hamna jema nyinyi watanzania
Hapana sisi tunampongeza kwa kileta wawekezaji lakini je mbona unemployment rate inapaa kila siku. What impact have wawezaji done? Na je serikali imejivua jukumu hili la kuajili. Unataka kusema hata walimu wanasubili wawekezaji ili waajiri wakati public schools hamna walimu
 
Wawekezaji uchwara! Hivi kwenye nchi ambayo umeme bado ni tatizo kuna mwekezaji gani anaweza kuja! Hujawajua awamu hii lengo lao ni kupika data feki waonekane bora kuliko aliyepita! Subiri report ya CAG utakuja uniambie!
 
Mama chapa kazi wa Tz tupo nawe daima na usiwaze hivi 'vibua'
Ni vijitu vilivyo na utapiamlo wa kufikiri!
 
Wawekezaji uchwara! Hivi kwenye nchi ambayo umeme bado ni tatizo kuna mwekezaji gani anaweza kuja! Hujawajua awamu hii lengo lao ni kupika data feki waonekane bora kuliko aliyepita! Subiri report ya CAG utakuja uniambie!
Mama anajitahidi lakini huwezi kumfanainsha na jpm ambaye alika hatua mpaka ya kutupiga fix eti tumeingia uchumi wa kati huku umaskini unazidi kuwa juu siku Hadi siku na ajira zinazidi kuyeyuka ila tukalazimisha hivyo hivyo tukubali kwamba tumeingia uchumi wa kati a ukikosoa tu kesho unaokotwa kwenye kiroba coco
 
Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii:

Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu.

Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali maslahi kwa watu wengine.

Ni mtu anayependa kusifiwa sana hata kama anajua watu wanakufa kwa njaa au hawana ajira kabisa yeye hajali ilimradi anasifiwa kwamba anupiga mwingi.

Ni mtu wa kupenda publicity ya watu maarufu sana nyie wadogo hata mfe shauri yenu.

Ki ufupi Samia ni self centered.
Huu uzi unaweza ukaondolewa mapema maana mods wa JF ni kama wameingia maridhiano na Samia. Ukiweweka uzi unaomkisoa wanauondoa haraka sana. Juzi nilieleza jinsi alivyoshupaa kwenye interview ya BBC kuwa mbiwe ni gaidi, ukaondolewa haraka
 
Mi hawezi mana naweza kuwaloga wote wakawa mashoga wote
 
Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii:

Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu.

Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali maslahi kwa watu wengine.

Ni mtu anayependa kusifiwa sana hata kama anajua watu wanakufa kwa njaa au hawana ajira kabisa yeye hajali ilimradi anasifiwa kwamba anupiga mwingi.

Ni mtu wa kupenda publicity ya watu maarufu sana nyie wadogo hata mfe shauri yenu.

Ki ufupi Samia ni self centered.
Umeandika jina Samia kwa bahati mbaya ama ulidhamiria? Sifa hizi mheshimiwa Samia hana hata moja. Sifa hizi ni za jiwe aka Mungu wa sukuma gang.

Yeye ndiye ambaye alikuwa tayari kuua, kuteka , kupora na kupiga watu risasi ili apate sifa.

Jiwe mjaa laana yule ndiye anayetufanya tunateseka mpk leo.
 
Nilikuwa sifikirii kama jinsia k inaweza kuwa na uchu wa madaraka ila sasa nimeamin

Nimekubali binadamu wote ni sawa
 
Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii:

Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu.

Ni mtu anayependa mass appreciation

Ni mtu anayependa kusifiwa sana

Ni mtu wa kupenda publicity

ni self centered.
Hapa unazungumzia Samia au Magu?
 
Na bado, hiyo ni trailer tu.
RIP, JPM, Mzalendo wa kweli na mwanamapinduzi wa kweli.
 
Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii:

Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu.

Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali maslahi kwa watu wengine.

Ni mtu anayependa kusifiwa sana hata kama anajua watu wanakufa kwa njaa au hawana ajira kabisa yeye hajali ilimradi anasifiwa kwamba anupiga mwingi.

Ni mtu wa kupenda publicity ya watu maarufu sana nyie wadogo hata mfe shauri yenu.

Ki ufupi Samia ni self centered.
Mbona kama ni sifa za "jiwe" ???!!!
 
Una matatizo wewe hivi Samia na magufuli Nani alikuwa anapenda kusifiwa?
 
Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii:

Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu.

Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali maslahi kwa watu wengine.

Ni mtu anayependa kusifiwa sana hata kama anajua watu wanakufa kwa njaa au hawana ajira kabisa yeye hajali ilimradi anasifiwa kwamba anupiga mwingi.

Ni mtu wa kupenda publicity ya watu maarufu sana nyie wadogo hata mfe shauri yenu.

Ki ufupi Samia ni self centered.
Chuki zako tu ulizonazo kwa Samia ndio zinakutesa
 
Back
Top Bottom