Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Mbona sifa hizo zinafit 100% kwa mtangulizi wake.Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii:
Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu.
Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali maslahi kwa watu wengine.
Ni mtu anayependa kusifiwa sana hata kama anajua watu wanakufa kwa njaa au hawana ajira kabisa yeye hajali ilimradi anasifiwa kwamba anupiga mwingi.
Ni mtu wa kupenda publicity ya watu maarufu sana nyie wadogo hata mfe shauri yenu.
Ki ufupi Samia ni self centered.
Umesahau zile nyimbo za kumuabudu, kuzima wakosoaji n.k