Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Mbona sifa hizo zinafit 100% kwa mtangulizi wake.Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii:
Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu.
Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali maslahi kwa watu wengine.
Ni mtu anayependa kusifiwa sana hata kama anajua watu wanakufa kwa njaa au hawana ajira kabisa yeye hajali ilimradi anasifiwa kwamba anupiga mwingi.
Ni mtu wa kupenda publicity ya watu maarufu sana nyie wadogo hata mfe shauri yenu.
Ki ufupi Samia ni self centered.
At least umemweleza ukweliHilo nalo unamlaumu Samia tu, vipi kuhusu watangulizi wake ?.... unadhani ni jambo rahisi la kutatua usiku mmoja tu ?..
Acha lawama zisizo na msingi.
Hakuna Rais aliependa kusifiwa tangu Uhuru kama awamu ya tano!! Tuongee ukwel bila ushabiki!!Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii:
Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu.
Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali maslahi kwa watu wengine.
Ni mtu anayependa kusifiwa sana hata kama anajua watu wanakufa kwa njaa au hawana ajira kabisa yeye hajali ilimradi anasifiwa kwamba anupiga mwingi.
Ni mtu wa kupenda publicity ya watu maarufu sana nyie wadogo hata mfe shauri yenu.
Ki ufupi Samia ni self centered.
Akakopi na kupaste kwa jk yeye alifanyaje mpaka ualimaua ukawa kimbilio kwa vijana na udaktari paiaHilo nalo unamlaumu Samia tu, vipi kuhusu watangulizi wake ?.... unadhani ni jambo rahisi la kutatua usiku mmoja tu ?..
Acha lawama zisizo na msingi.
Wewe ndiye uliyesema kuwa Katiba inasema Serikali ndiyo inatakiwa iwe muajiri Mkuu, sasa tutajie kifungu cha Katiba kinachosema kuwa serikali inatakiwa kuwa muajiri Mkuu.. Mi nimekuuliza serikali Ina kazi Gani?
Hawezi kufikia hata robo, mtangulizi alilazimisha watu wamsifie, ukienda kinyume (kukosoa) unajua nini kitafuata.Huyu mama amekuja kuziendeleza na slowly atamzidi kwa sifa
Unamaanisha mama anapenda kusifiwa kumpita Jiwe?Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii:
Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu.
Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali maslahi kwa watu wengine.
Ni mtu anayependa kusifiwa sana hata kama anajua watu wanakufa kwa njaa au hawana ajira kabisa yeye hajali ilimradi anasifiwa kwamba anupiga mwingi.
Ni mtu wa kupenda publicity ya watu maarufu sana nyie wadogo hata mfe shauri yenu.
Ki ufupi Samia ni self centered.
Kazi kuu za serikali Duniani kote ni KUWALINDA na KUWAENDELEZA watu wake.Utawaendeleza vipi watu?ni kwa kuhakikisha wanapata mahitaji yote muhimu;ni ili wayapate sharti wawe na Elimu bora na ajira za heshima na siyo kazi kama za Bodaboda.Kwanza una elimu Gani mana hata katiba yenyewe huijui. What are the functions of the government?
Bibi alishasema kuwa siyo kazi ya serikali kutoa ajira!A stupid question should always receive a stupid answer. Mi nimekuuliza serikali Ina kazi Gani? Unless hata mama mwenyewe haelewe kazi za serikali ndo mana anaona kundi kubwa la vijana mtaani wanalandlanda yeye anaona poa tu Bora akapatane na mbowe ambaye ni tajiri tayari. Hili ni bomu in future na vikundi vya kigaidi Huwa vinaanza hivihivi kwa vijana kukosa ajira na serikali inachukulia poa yaani inaona siyo jukumu lake
Sio afrika haya.Kazi kuu za serikali Duniani kote ni KUWALINDA na KUWAENDELEZA watu wake.Utawaendeleza vipi watu?ni kwa kuhakikisha wanapata mahitaji yote muhimu;ni ili wayapate sharti wawe na Elimu bora na ajira za heshima na siyo kazi kama za Bodaboda.
Na ndiyo maana ata kwenye siasa za Marekani huko walikoendelea,utasikia sana ahadi ya ajira kwa raia wake kwa maana ni wajibu wa serikali kuhakikisha watu wake wana ajira nzuri.
Acheni kumdanganya Bibi yenu wa Kikwajuni!
Wajinga watakuja kuona ukweli huu baada ya kupata rais mwingine.Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii:
Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu.
Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali maslahi kwa watu wengine.
Ni mtu anayependa kusifiwa sana hata kama anajua watu wanakufa kwa njaa au hawana ajira kabisa yeye hajali ilimradi anasifiwa kwamba anupiga mwingi.
Ni mtu wa kupenda publicity ya watu maarufu sana nyie wadogo hata mfe shauri yenu.
Ki ufupi Samia ni self centered.
Noo sidhan kama ni zaid wote tupo bongo hii na awamu zote tumejionea! Kabla ya Samia ilikua ukisifu na kutukuza unaukwaa uongoz au ukuu wa wilaya, tesa upinzani au piga san weka ndan, unaukwaa pia, imagine mtu unafananishwa na MUNGU, YESU mtume Muhammad? Na still unakaa kimya kana kwamba umeridhika na kufurahia?Samia amekuja kuendeleza sifa hizo tena zaidi na zaidi na mbaya zaidi sifa hizo anapenda kuzipata kwa matajiri tu maskini potelea mbali
Sasa we mjinga Mambo gani yaliyosimama . Kama ni elimu watoto wenu mnaoo zaa Kama panya siwanalipiwa ada na kujengewa madarasa. Wakulima sunawapewa mbolea ya ruzuku. Miradi ya jiwe wenu sii inaendelezwa, Wafanyakazi si kila mwezi wanalipwa. Mambo gani hayafanyiki ebu twambie ewe mja ulie jitia upofuHatuwezi kuishi kwa siasa tu Kuna mambo mengi yanatakiwa kufanywa kwa maslahi ya umaa. Siasa ni segment ndogo sana na inawanufaisha tu wale wachache ambao tayari ni wanasiasa. Kuna wengine na kwakweli ndo wengi, hatuna traits za siasa kabisa