Omba msimpate rais ambaye anafikiria 'interest' na maslahi yake tu!

Ajira imepewa kisogo as if siyo kazi ya serikali. Au kama ccm imeelemewa basi iachie ngazi
 
Sasa wewe mjinga unataka raisi aajili watu wote? Akisema amefungua nchi wawekezaji wanakuja. Mnapaaza sauti kuwa kaleta wezi kuchota mali za nchi. Mbona hamna jema nyinyi watanzania
 
H
Ahahah mbona mapema hivyo?😅mama anaupiga mwingi kwelikweli🏃
 
Sasa wewe mjinga unataka raisi aajili watu wote? Akisema amefungua nchi wawekezaji wanakuja. Mnapaaza sauti kuwa kaleta wezi kuchota mali za nchi. Mbona hamna jema nyinyi watanzania
Hapana sisi tunampongeza kwa kileta wawekezaji lakini je mbona unemployment rate inapaa kila siku. What impact have wawezaji done? Na je serikali imejivua jukumu hili la kuajili. Unataka kusema hata walimu wanasubili wawekezaji ili waajiri wakati public schools hamna walimu
 
Wawekezaji uchwara! Hivi kwenye nchi ambayo umeme bado ni tatizo kuna mwekezaji gani anaweza kuja! Hujawajua awamu hii lengo lao ni kupika data feki waonekane bora kuliko aliyepita! Subiri report ya CAG utakuja uniambie!
 
Mama chapa kazi wa Tz tupo nawe daima na usiwaze hivi 'vibua'
Ni vijitu vilivyo na utapiamlo wa kufikiri!
 
Wawekezaji uchwara! Hivi kwenye nchi ambayo umeme bado ni tatizo kuna mwekezaji gani anaweza kuja! Hujawajua awamu hii lengo lao ni kupika data feki waonekane bora kuliko aliyepita! Subiri report ya CAG utakuja uniambie!
Mama anajitahidi lakini huwezi kumfanainsha na jpm ambaye alika hatua mpaka ya kutupiga fix eti tumeingia uchumi wa kati huku umaskini unazidi kuwa juu siku Hadi siku na ajira zinazidi kuyeyuka ila tukalazimisha hivyo hivyo tukubali kwamba tumeingia uchumi wa kati a ukikosoa tu kesho unaokotwa kwenye kiroba coco
 
Huu uzi unaweza ukaondolewa mapema maana mods wa JF ni kama wameingia maridhiano na Samia. Ukiweweka uzi unaomkisoa wanauondoa haraka sana. Juzi nilieleza jinsi alivyoshupaa kwenye interview ya BBC kuwa mbiwe ni gaidi, ukaondolewa haraka
 
Mi hawezi mana naweza kuwaloga wote wakawa mashoga wote
 
Samia amekuja kuendeleza sifa hizo tena zaidi na zaidi na mbaya zaidi sifa hizo anapenda kuzipata kwa matajiri tu maskini potelea mbali
Una wivu kama mke mwenza
 
Umeandika jina Samia kwa bahati mbaya ama ulidhamiria? Sifa hizi mheshimiwa Samia hana hata moja. Sifa hizi ni za jiwe aka Mungu wa sukuma gang.

Yeye ndiye ambaye alikuwa tayari kuua, kuteka , kupora na kupiga watu risasi ili apate sifa.

Jiwe mjaa laana yule ndiye anayetufanya tunateseka mpk leo.
 
Nilikuwa sifikirii kama jinsia k inaweza kuwa na uchu wa madaraka ila sasa nimeamin

Nimekubali binadamu wote ni sawa
 
Hapa unazungumzia Samia au Magu?
 
Na bado, hiyo ni trailer tu.
RIP, JPM, Mzalendo wa kweli na mwanamapinduzi wa kweli.
 
Mbona kama ni sifa za "jiwe" ???!!!
 
Una matatizo wewe hivi Samia na magufuli Nani alikuwa anapenda kusifiwa?
 
Chuki zako tu ulizonazo kwa Samia ndio zinakutesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…