"Omba omba" na WAsoha Vioo vya Magari wa Dar ni Mradi wa "wakubwa?"

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Omba omba wengi tiulizoea wakitoka mikoa ya Dodoma. na Singida , sasa wanatoka Mwanza na mikoa mingine kasoro Kilimanjaro na Arusha, yaani Hakuna Mchaga omba omba!

WAOSHA MAGARI: Hawa watu wanasimama kwenye mata na foleni, pale morroco -kinondoni, hata liwe gari la wanaojulikana ama wasio julikana, hawa vijana wanakuja , wanachungulia ndani, wanakuoshea bila kuuliza na kulazimisha uwalipe na usipolipa wanarushia uchafu kwenye kioo.
OMBA OMBA:Hawa wengi wanapangishiwa na godfather waio maenneo ya mwananyamala na buguruni, kwa siku inasenekana omba omba mmoja anakusanya zaidi ya laki moja na analipwa "sponsa" wao na wao wanapwa chakula na malazi tu!

huu mradi umekuwa kwa miaka na mikaka na hawa wadhan=mini wao wanazunguka mikoani kutafuta walemavu na kuwaleta Dar ili biashara yao ikue.

OMBAOMBA -WAZIMA: - Imezuka tabia ya watu wazima kabisa, hawana ulemavu wowte, kila ijumaa wanazunguka kwa makundi makubwa kwenye ma - yard za magari mitaa ya Victoria, kinondoni, Morroco, Seifee, masaki kuomba fedha, wanakuja kama 200 hivi na wanapanga mstari, the same hata Upanga wanatembea na kugaiwa fedha. Serikali ikomeshe huu upuuzi, kama ni msaada ama sadaka, toa kwa serikali wao serikali wataifikisha kwa wahusika.!
 
Hata Mbeya na Songea hawapo Bwana!
 
Ni kama wale walemavu wanaotembezwa na baiskeli yaani mtu ( hana ulemavu) anamtembeza mlemavu kwenye baiskeli kuanzia asubuhi mpaka jioni kwanini asiwekwe sehemu moja watu wema watamuona na kumsaidia.
 
Back
Top Bottom