Omba Omba kila sehemu wana tabia zao na maeneo yao ya kufanyia kazi yao ya kuomba misaada ila wa Bukoba mjini hiyo tabia hasa wakina mama wazee kukaa nje ya vyumba vya ATM sio poa sasa kama mmeamua hivo basi mue na change ya 10,000 siwezi kukiwachia 10k yote uchumi mgumu kwass 10k ndo mshahaara wangu kwa siku.
Bora wale wa Dodoma wanao kaa pembeni ya highway indayo Dar es salaamu. Au wale wa dar wanao enda kwenye maduka ya wa Hindi na waislamu siku ya jumaa au nje ya misikiti.
Ukweli ni kwamba tunataka kuwasaidia chochote ila ATm za Tanzania hazitowi change zinatoa 10 000 tu, wengine tunakosa raha tusipo wape kisa hatuna change.