Omba sana Mungu Uzaliwe kwenu

Omba sana Mungu Uzaliwe kwenu

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
909
Reaction score
1,717
Nipo mahali aisee mdada kajifunguliq nyumbani sasa kijana now yupo 15yrs hana maamuzi anakosa hata ule uhuru binafsi kama mtoto kila kosa akifanya malalamiko anatukanwa Baba yake na kabila zima
 
Ndio athari za mimba za utotoni mwambie avumilie kwa mtu ni kwa mtu uhuru na furaha ataipata akiamia kwake
 
Nipo mahali aisee mdada kajifunguliq nyumbani sasa kijana now yupo 15yrs hana maamuzi anakosa hata ule uhuru binafsi kama mtoto kila kosa akifanya malalamiko anatukanwa Baba yake na kabila zima
dadavua mada yako vizuri.
 
Nipo mahali aisee mdada kajifunguliq nyumbani sasa kijana now yupo 15yrs hana maamuzi anakosa hata ule uhuru binafsi kama mtoto kila kosa akifanya malalamiko anatukanwa Baba yake na kabila zima
Wenda machungu ya kumlea huyo dogo bila usaidizi wa baba yake wanayamalizia kwa mtoto na kabila la baba yake.
 
Nipo mahali aisee mdada kajifunguliq nyumbani sasa kijana now yupo 15yrs hana maamuzi anakosa hata ule uhuru binafsi kama mtoto kila kosa akifanya malalamiko anatukanwa Baba yake na kabila zima
Hao umamani kwao hawana busara. Hawajui maana ya malezi. Huwezi mtukana kijana anayekuwa kwa maneno ya namna hiyo, binafsi nitamlea kama mwanangu huyo kijana kuchukua nafasi ya baba anayemkosa
 
Back
Top Bottom