poa za kwakoMambo vp
Mavi ya BashiteMnakulaga nini wakuu?
Hii yangu ni tofauti kidogo.
Ilikuwa ni siku ya Presentation, nipo zangu mbele kabisa natoa semina yangu mbele ya Wanafunzi wasiopungua 500.
Wakati nafika pale mbele, nikaanza kusikia hali ya tumboni inabadilika. Nikaendelea zangu kushusha madude, nafika katikati ya presentation naona kama vile nikiongea dude linashuka. Ikabidi nipunguze sauti ya kuongea, lecturer akadai niongeze sauti maana watu hawasikii. Nilipojaribu kuongeza sauti Salaleeh, naona kitu kabisa inaanza kutoka.
Nilipoona hivyo, nikanyamaza kimya kwa sekunde kadhaa huku nimeduwaa. Nikapiga mahesabu chap chap, nikasema ngoja nishuke taratibu.
Kushuka kwenyewe natembea taratibu, kama mtu ambaye mguu mmoja haujakaa sawa. Ile nafika mlangoni nikakimbia puuh! Haa, kitu kinanifata kabisa. Ikabidi nishikilie kwa mkono.
Nafika toilet, watu wamejaa. Ikanilazimu kumwaga uharo sehemu ya kukojoa. Nisingeweza kusubiri tena.
Huku Class watu wanakufa kwa vicheko wakati mwenzio naangamia.
Omba isikukute.
hahahhhh wee hii uongoMi ilitokea nilipokwenda kwao na mchumba wangu siku hiyo kujitambulisha!
Ile tumemaliza kula tu hali ikagoma nikakimbilia chooni naharisha maji tu.!
Ile namaliza kurudi sebuleni nikabanwa tena safari hii nilijinyea nikiwa mlangoni mwa choo kumsubiri mtu atoke niingie.!
Ilikuwa aibu kubwa ya kufunga mwaka usiniulize kilichotokea baada ya hapo..!
Nnachokumbuka uchumba uliishia hapo kwani sikuwahi kurudi tena wala kumtafuta huyo binti na namba ya simu nilibadiri nikahama na mtaa maana watu wangeinyaka kuwa nilijinyea ukweni ingevuma kuliko ya Bashite na vyeti.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hadithi ya kweli;
Kuna mzee moja alibanwa na uharo akiwa safarini kule kijiji alikuwa anaenda mjini, kama kawaida wazee wa cal me j wanapenda kuvaa rain boot hata wakati wa kiangazi.
Nadhani aliona ni adha kumwita kondakta wa gari lile na kumwambia shida yake, alichokifanya akashusha uharo kwenye suruali.
Kwa vile ni majimaji yakatiririka hadi ndani ya rain boot zake, bhna wee mjini hapakutosha aliposhuka garini alikuwa akitembea unasikia, Chapii chapiii chapiii chapii.
Nimecheka kwa sautiiiiiiHii yangu ni tofauti kidogo.
Ilikuwa ni siku ya Presentation, nipo zangu mbele kabisa natoa semina yangu mbele ya Wanafunzi wasiopungua 500.
Wakati nafika pale mbele, nikaanza kusikia hali ya tumboni inabadilika. Nikaendelea zangu kushusha madude, nafika katikati ya presentation naona kama vile nikiongea dude linashuka. Ikabidi nipunguze sauti ya kuongea, lecturer akadai niongeze sauti maana watu hawasikii. Nilipojaribu kuongeza sauti Salaleeh, naona kitu kabisa inaanza kutoka.
Nilipoona hivyo, nikanyamaza kimya kwa sekunde kadhaa huku nimeduwaa. Nikapiga mahesabu chap chap, nikasema ngoja nishuke taratibu.
Kushuka kwenyewe natembea taratibu, kama mtu ambaye mguu mmoja haujakaa sawa. Ile nafika mlangoni nikakimbia puuh! Haa, kitu kinanifata kabisa. Ikabidi nishikilie kwa mkono.
Nafika toilet, watu wamejaa. Ikanilazimu kumwaga uharo sehemu ya kukojoa. Nisingeweza kusubiri tena.
Huku Class watu wanakufa kwa vicheko wakati mwenzio naangamia.
Omba isikukute.
Mkuu wewe hukuharisha ila ulijinyea kabisa!! Dah kazi ipo.Nakumbuka kipindi ni mdogo alikuja nyumbani pacha mwenzake na mama sasa mzee akanunua kondoo dume kubwa kwa ajili ya mgeni (nilikuwa na miaka kama 8-9 hivi).
Basi kwa vile mgeni alifika usiku na mambo yakafanyika usiku, nilishtushwa na sauti AMKA ULE nikaamka mwanaume nikapiga mkia wa kondoo bila kula ugali wala nini, baada ya mlo nikaenda zangu kitandani kuwazua maisha ya utoto maana nilikuwa nawaza sana enzi hizo.
Kiukweli sikujua kinachoendelea usiku ule nilishtukia kumekucha na nikavaa nguo za shule kwenda masomoni (shule) bila kunawa uso wala miguu.
Ile nafika mlangoni nikasikia mzee "Naombeni mmsaidie huyo tafadhali".
Kichwa kizima,miguu,mikono,shingo, ni uharo mtupu yaani nzi wako nyuma kama vile kuna maandamano.
Niliogeshwa na ndoo mbili za maji, kwenda kitandani walichokiona hakiwezi elezeka kwa awamu hii ya Tano.
Kwa kweli umenivunja mbavu [emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha movie ya zamani ya ki nigeria Usuofia in London!
Ahsante sana, japo ni miaka mingi iliyopita lakini bado tukio halifutiki kichwani mwangu....Hahaha! Pole sana!!!
Hiyo kitu ikukute chuo alafu ile unakimbilia chooni unakuta majangili washaharibu vyoo vyootee!!! Kudadeki... Huoni ajabu kuachia mzigo juu ya mzigo wa mwingine. I salute uharo aisee!!
Yaani nilipiga hadi nikajaza Chumba.Mkuu wewe hukuharisha ila ulijinyea kabisa!! Dah kazi ipo.
pole ila ujitahidi kula kwa mpangilio na kutembea na dawa maana tumbo sometimes halitabirikiHii imenitokea juzi nikiwa na mishe zangu mjini morogoro
Asalaleeee,,,,.usiombe hii kitu ikukute
pitia na [HASHTAG]#197[/HASHTAG] ndo balaaPost zote humu nilizogonga like mmenivunja mbavu looh hahahahahhahahahaaaa