white hat
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 3,321
- 2,488
poleNilikuwa nasafari yakutoka Dodoma kwenda Dar asubuh nimegonga kiporo cha wali maharage swafi njian kuelekea stand tumbo likakoroga nikajikaza mpaka stand ya shabiby choon kuzama nikashusha mzigo mzito nikatoka kukaa dakika tano kitu tena dooh nikazama tena hapo naomba basi lisiondoke nikarud tena trip ya tatu sink likajaa nafkir lilikuwa limeziba kuingia kwenye basi siti za nyuma nyuma viti vya watu watatu me Niko katikati nitumbo kukoroma Kama radi nkaseme kufedheheka ndo huku nikajikaza likiyumba na Mimi nmeyumba kaza kalio mpaka jasho sizungumzi nikafanikiwa kufika Moro kushuka brake yakwanza toi nilishusha mzigo wa kutosha hapo cjala kitu mpaka nafika Dar chamoto nilikiona na sikutumia dawa yoyote nilipona tuu na nikafunga choo Kama siku nne
Sema punguza viporo mkuu