Omba usishikwe na tumbo la kuharisha ukiwa katikati mjini na hakuna vyoo karibu

pole
Sema punguza viporo mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaah mzee naandika kwa uchungu sana.Imenikuta juzi jumamosi kuna mtoto hua tunawasiliana sana kwa simu sasa jumamos tukapanga tukutane.Mfukoni nilikua kama nina 60 hivi nikavaa fresh kajinz kangu na fulana moja kali sana demu kaja tukakaa sehemu kaagiza zake juice mie nikamuunga mkono nikawa napiga juice.dakika sifuri tu tumbo likaanza trela lilianza ule muungurumo wa tumbo ukaanza daaah nikajua labda salamu tuu ya tumbo,bwana weee nikaona kuna kitu ka kinagonga boxer fasta nikaenda toi nikashusha mzigo

Nimerudi nikakaa freshi piga piga story pale likaanz tena.aloo nilikosa mood ikabd nimwambie yule manz nimepata dharula next time tutakutana,nikaondoka kwa huzuni sana tangu siku ile naona demu hata ushirikiano hanipi sasa sijui alinionaje
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku moja nilikuwa na safiri natoka zng Moshi naenda dar kaka mmoja kabanwa anaomba dereva asimamishe dereva anamwambia subiria tufike sehemu nzur huku wanakamata jamaa uvumilivu ukamshinda ikabidi dereva asimamishe sehemu Hamna hata miti tambarare we kwani alikuwa na aibu Akachukua jani Lake akajifunika usoni akafanya yke alivyomaliza Huyo karudi sura kavu yani hicho kitu hakinaga adabu
 
Mhhh! aisee Magu kawafanya watu waisome namba hadi kwenye kuvimbiwa na wali wa shughuli
 
Pole sana ila umeniua mbavu [emoji28][emoji28]
 
Nmecheka sana wallah[emoji23]
 
Nimecheka san[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sipati picha hali ya hewa ya eneo husika ilikuaje
 
Mhh usiombe ikukute halafu kwenye harakati ya kuwahi pa kujistiri njiani ukakutana na mtu ambaye hamjaonana miaka
 
Daah huu uzi umenifanya nicheke mpaka mbavu zinauma. Mimi nimewahi kukutana na hayo maswahibu. Nilikua natoka Arusha naenda Dar nimepanda basi la Buffalo. Asubuhi nimepiga chai ya nguvu mixer chapati, vitumbua na ndizi. Kuanza kuitafuta Wami nikasikia tumbo linakoroga, nikajikaza labda kwa sababu nimekaa nyuma ndio inasababisha tumbo kuuma. Nikasogea siti za mbele bahati basi halikua limejaa.. Kukaa kama dk 5 nikaona linaendelea kuuma, nikamwita konda nikamwelezea afanye mpango gari lisimame nikafanye vitu. Eee bhana akanijibu nijikaze. Nikafungua shati vifungo, nikalichomoa maana nilikua nimechomekea, hapo jasho linanitoka hatari... Hata nikaona huu ni ujinga, nikachukua mfuko mweusi wa malboro nikamfuata konda na dereva, kwa sauti kubwa kama nina kipaza sauti nikawaambia " mnasimamisha gari au niachie mzigo hapa..!?'' Ile kusimamisha gari, niliruka kama komandoo, huyo vichakani nilikaa kama dakika 20 nafanya mambo.. Nikarudi kwenye gari nimechomekea, nikaweka earphone nikala mziki taratibu kama sio mimi vile....!!!
 

Hahahahahahaaa hahahahahahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…