Sijawahi kuhara mimi....Khaaah nakula ujuemm nipo sijamaanisha salam ujue nataka kujua ww kuhusu tumbo la kuhara ilikuaje [emoji23]
Duh!!!usiombee kuingia vyoo vya Polisi kota, ni vichafu mno yaani utadhani vinatumiwa na masokwe .
hahahhaha hivi umemaanisha nn hapoSijawahi kuhara mimi....Khaaah nakula ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu
pole sana [emoji23]Ishawah kunikuta kkoo enz hzo no.mwendo kas nkapiga hesabu saa tisa na Ile folen mpka nifike home aisee nshahrbu nkaingia bar moja nkaagiza soda nkaacha mezan fast A choon nashukuru nilikuta maji maana nilikuja kukagua maji baada ya kumalza shuhul yangu
Haha...usiombe yakukute halafu uwe kibongehahahhaha hivi umemaanisha nn hapo
Hii imenitokea juzi nikiwa na mishe zangu mjini morogoro
Asalaleeee,,,,.usiombe hii kitu ikukute
hahahhahah ww ni kibongeHaha...usiombe yakukute halafu uwe kibonge
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Nilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu
Wala...vibonge kina Miss Natafutahahahhahah ww ni kibonge
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ishawah kunikuta kkoo enz hzo no.mwendo kas nkapiga hesabu saa tisa na Ile folen mpka nifike home aisee nshahrbu nkaingia bar moja nkaagiza soda nkaacha mezan fast A choon nashukuru nilikuta maji maana nilikuja kukagua maji baada ya kumalza shuhul yangu
hahahhaha hiyo ya kusafiri isikie tu kwa mwenzioWala...vibonge kina Miss Natafuta
Kuna kibonge kilikutwa na hili sakata tulikuwa tunasafiri wote
Eeh ilikuaje nisimuliehahahhaha hiyo ya kusafiri isikie tu kwa mwenzio
Ha ha ha haya mambo hayana mwwnyewe kabisa ilnkuta na nyengne safarin aiseee niliingza gar nyumba moja hv nahs hata wenyewe hawakutegemea ugen wa jion[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
hahhahah nitakusimulia kwa waziri mkuuEeh ilikuaje nisimulie