Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
hahahhah we kula tu Daby unajua mm mroho sana ndio kilichoniponza napenda sana kula kulaTirirka bwana...ujue nimeghairi hadi kula nataka kwqnza nikuskie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahhah we kula tu Daby unajua mm mroho sana ndio kilichoniponza napenda sana kula kulaTirirka bwana...ujue nimeghairi hadi kula nataka kwqnza nikuskie
Hebu simulia hapa acha balaa.hahhahah nitakusimulia kwa waziri mkuu
takiiiiiii [emoji23]Hebu simulia hapa acha balaa.
nimecheka balaaaaaNilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu
Bora haja ndogo espy kuliko tumbo la kuhara uskie tu kwa mwenzioYa safarin mie niliwahi banwa haja ndogo aiseee sitosahau!!
😀😀 Mbavu zangu we jamaa aiseeNilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu
tumeni mpesa [emoji23]
Acha a learn a lesson siku Hz nikisafir zaid ya Pringles na kinywaj stak kusikia habar ya chakula[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Pole sana mkwe, watu na matumbo yenu.
Sijawahi shemeji, tumbo langu linashukrani kwakweli. Nikiharisha ujue ni ile ya kujitakia kwa kunywa juice ya ukwaju nayo ni ya kawaida tu.Shemeji wewe haujawahi kuharishaaa sijui kuhara
Maana wewe mlaji mlaji saana
Chapaaaaa!!takiiiiiii [emoji23]
Nilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu
Ebu simulia kwanza buana...au ulikuwa unayarusha magun shot nini....puuuupuuu fyuuupuuu [emoji23][emoji23][emoji23]tumeni mpesa [emoji23]
Mpesa kisa uharo shunie mungu anakuonatumeni mpesa [emoji23]
Mie safarini chakula changu kikuu huwa ni biskuti za digestive na maji baaaas, hivyo haja ndogo ndio huwa inanisumbua.Bora haja ndogo espy kuliko tumbo la kuhara uskie tu kwa mwenzio
toka siku hiyo nimejifunza kutokula chochote na uroho wangu
Hahaha...maana kuna watu wana germanic machines au complex machine wengine wana simple machineSijawahi shemeji, tumbo langu linashukrani kwakweli. Nikiharisha ujue ni ile ya kujitakia kwa kunywa juice ya ukwaju nayo ni ya kawaida tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Acha a learn a lesson siku Hz nikisafir zaid ya Pringles na kinywaj stak kusikia habar ya chakula
hongera sanaSijawahi shemeji, tumbo langu linashukrani kwakweli. Nikiharisha ujue ni ile ya kujitakia kwa kunywa juice ya ukwaju nayo ni ya kawaida tu.