Omba usishikwe na tumbo la kuharisha ukiwa katikati mjini na hakuna vyoo karibu

Nilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ishawah kunikuta kkoo enz hzo no.mwendo kas nkapiga hesabu saa tisa na Ile folen mpka nifike home aisee nshahrbu nkaingia bar moja nkaagiza soda nkaacha mezan fast A choon nashukuru nilikuta maji maana nilikuja kukagua maji baada ya kumalza shuhul yangu
 
Yamewahi kunikuta maeneo ya mikochen nipo kwenye daladala natoka makumbusho ikanibidi kushuka kwenye kituo Kwa dharura japo niendako Nilikuwa sijafika.
SIKU hiyo maana tumbo lilikuwa linauma baada ya kufanikiwa kupata choo kwenye kituo cha afya nikaendelea na safari mpaka Kwa rafiki ghafla haja kubwa ikanibana nikaulizia toilet nikaelekezwa nilichokikuta choon nilishindwa kujisaidia nimezoea kutumia maji nilipoingia choo nikakuta toilet paper dah Acha tu nikaondoka nikavumilia hata sikujisaidia haja ndogo wala kubwa.
 
Ishawah kunikuta kkoo enz hzo no.mwendo kas nkapiga hesabu saa tisa na Ile folen mpka nifike home aisee nshahrbu nkaingia bar moja nkaagiza soda nkaacha mezan fast A choon nashukuru nilikuta maji maana nilikuja kukagua maji baada ya kumalza shuhul yangu
pole sana [emoji23]
 
Nilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna siku nipo site maeneo ya visiga nikiwa nachukua gps coordinates nilikuala samaki ruvu ndio kufika visiga kuenda kuchukua coordinates mara tumbo likaanza, tumemaliza ndio tuingie kwenye gari tusepa hali ikawa ngumu

Basi nikadanganya kuwa nimesahau kuchukua coordinates kumbe naenda toi na mvua ilikua inanyesha na choo hakina bati
 
Nilibanwa na tumbo la kuhara nafika tu kazini tumekaa kusubiri kupangiwa root ya kwenda tumbo likavuruga nilikimbia mpaka choo mtu binafsi nikazama bila kuuliza yule mama alivyoniona naingia akaenda kuita watu jamani kuna jambazi limekimbilia chooni walipofika mlangoni waliduwaa maana ilikuwa ni paaaptaaaatataa pypyeeeee peyeee nikatoka kimya bila kuongea na mtu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ishawah kunikuta kkoo enz hzo no.mwendo kas nkapiga hesabu saa tisa na Ile folen mpka nifike home aisee nshahrbu nkaingia bar moja nkaagiza soda nkaacha mezan fast A choon nashukuru nilikuta maji maana nilikuja kukagua maji baada ya kumalza shuhul yangu
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom