Omba usishikwe na tumbo la kuharisha ukiwa katikati mjini na hakuna vyoo karibu

nimecheka balaaaaa
 
Reactions: BAK
😀😀 Mbavu zangu we jamaa aisee
 

Huu ndiyo ulikuwa mwendo wako kimya kimya
[emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]lol!
 
Sijawahi shemeji, tumbo langu linashukrani kwakweli. Nikiharisha ujue ni ile ya kujitakia kwa kunywa juice ya ukwaju nayo ni ya kawaida tu.
Hahaha...maana kuna watu wana germanic machines au complex machine wengine wana simple machine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…