Hebu tuambie bwana maana hizi habari zikikukuta na aibu zinaisha, mie nilikojoa mbele ya wanaume bila hata aibu daaah!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii yangu ni tofauti kidogo.
Ilikuwa ni siku ya Presentation, nipo zangu mbele kabisa natoa semina yangu mbele ya Wanafunzi wasiopungua 500.
Wakati nafika pale mbele, nikaanza kusikia hali ya tumboni inabadilika. Nikaendelea zangu kushusha madude, nafika katikati ya presentation naona kama vile nikiongea dude linashuka. Ikabidi nipunguze sauti ya kuongea, lecturer akadai niongeze sauti maana watu hawasikii. Nilipojaribu kuongeza sauti Salaleeh, naona kitu kabisa inaanza kutoka.
Nilipoona hivyo, nikanyamaza kimya kwa sekunde kadhaa huku nimeduwaa. Nikapiga mahesabu chap chap, nikasema ngoja nishuke taratibu.
Kushuka kwenyewe natembea taratibu, kama mtu ambaye mguu mmoja haujakaa sawa. Ile nafika mlangoni nikakimbia puuh! Haa, kitu kinanifata kabisa. Ikabidi nishikilie kwa mkono.
Nafika toilet, watu wamejaa. Ikanilazimu kumwaga uharo sehemu ya kukojoa. Nisingeweza kusubiri tena.
Huku Class watu wanakufa kwa vicheko wakati mwenzio naangamia.
Omba isikukute.
HahahahaShemeji acha tu, kama walikiona basi tena ila kulikuwa hamna jinsi.
Yamewahi kunikuta maeneo ya mikochen nipo kwenye daladala natoka makumbusho ikanibidi kushuka kwenye kituo Kwa dharura japo niendako Nilikuwa sijafika.
SIKU hiyo maana tumbo lilikuwa linauma baada ya kufanikiwa kupata choo kwenye kituo cha afya nikaendelea na safari mpaka Kwa rafiki ghafla haja kubwa ikanibana nikaulizia toilet nikaelekezwa nilichokikuta choon nilishindwa kujisaidia nimezoea kutumia maji nilipoingia choo nikakuta toilet paper dah Acha tu nikaondoka nikavumilia hata sikujisaidia haja ndogo wala kubwa.
Mie sili kitu ni mwendo wa maji ya kunywa hadi nifike niendako. Kuchuma dawa kama kazi lakini kufakamia vyakula vya barabarani hapana kabisa aisee.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii yangu ni tofauti kidogo.
Ilikuwa ni siku ya Presentation, nipo zangu mbele kabisa natoa semina yangu mbele ya Wanafunzi wasiopungua 500.
Wakati nafika pale mbele, nikaanza kusikia hali ya tumboni inabadilika. Nikaendelea zangu kushusha madude, nafika katikati ya presentation naona kama vile nikiongea dude linashuka. Ikabidi nipunguze sauti ya kuongea, lecturer akadai niongeze sauti maana watu hawasikii. Nilipojaribu kuongeza sauti Salaleeh, naona kitu kabisa inaanza kutoka.
Nilipoona hivyo, nikanyamaza kimya kwa sekunde kadhaa huku nimeduwaa. Nikapiga mahesabu chap chap, nikasema ngoja nishuke taratibu.
Kushuka kwenyewe natembea taratibu, kama mtu ambaye mguu mmoja haujakaa sawa. Ile nafika mlangoni nikakimbia puuh! Haa, kitu kinanifata kabisa. Ikabidi nishikilie kwa mkono.
Nafika toilet, watu wamejaa. Ikanilazimu kumwaga uharo sehemu ya kukojoa. Nisingeweza kusubiri tena.
Huku Class watu wanakufa kwa vicheko wakati mwenzio naangamia.
Omba isikukute.
Siku hizi nimeanza kutembea na za kuzuia kuharisha aisee!!!
Yaani upo kwenye daladala haswa ile foleni ya kutoka tabata mpaka tazara, sometimes mnawea kaa ata masaa mawili foleni haiendi... Sa ndo hiyo kitu ikukamate hapo... Jamani nilisali Mungu azuie mzigo usishuke mpaka nifike gmboto, watu wanadhani sijui nimefiwa huko...[emoji23][emoji23][emoji23] hapo kijasho chembambaaa kinatiririka toka kichwani...
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Lol! Ukawapa sinema ya bure bila hata kulipa! Picchu iko mapajani🙂🙂🙂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii yangu ni tofauti kidogo.
Ilikuwa ni siku ya Presentation, nipo zangu mbele kabisa natoa semina yangu mbele ya Wanafunzi wasiopungua 500.
Wakati nafika pale mbele, nikaanza kusikia hali ya tumboni inabadilika. Nikaendelea zangu kushusha madude, nafika katikati ya presentation naona kama vile nikiongea dude linashuka. Ikabidi nipunguze sauti ya kuongea, lecturer akadai niongeze sauti maana watu hawasikii. Nilipojaribu kuongeza sauti Salaleeh, naona kitu kabisa inaanza kutoka.
Nilipoona hivyo, nikanyamaza kimya kwa sekunde kadhaa huku nimeduwaa. Nikapiga mahesabu chap chap, nikasema ngoja nishuke taratibu.
Kushuka kwenyewe natembea taratibu, kama mtu ambaye mguu mmoja haujakaa sawa. Ile nafika mlangoni nikakimbia puuh! Haa, kitu kinanifata kabisa. Ikabidi nishikilie kwa mkono.
Nafika toilet, watu wamejaa. Ikanilazimu kumwaga uharo sehemu ya kukojoa. Nisingeweza kusubiri tena.
Huku Class watu wanakufa kwa vicheko wakati mwenzio naangamia.
Omba isikukute.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ulikuwa hujabanwa vizuri. Toilet paper ungeiona kama pipa la maji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shunie ukajiharishia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nihadithie kidogo tunatoka arusha kwanza ile alfajiri tunaondoka pale home nikapiga chai nzito naambiwa kunywa chai kavu tu mm tena cha uroho acha ninywe mpk nimeshiba
tumepanda bus letu mchana kufika kwenye mgahawa wa dar express acha nile manyama na chips niliekua nae ananiangalia tu ananiambia sijui kama utafika salama hahahhah
kufika mlandizi tumbo silielewi kabisa linaanza kuvuruga nakiona kijasho mwenzangu ananiambia unakumbuka asbh haya ndio majibu yake na uroho wako
tumbo limechachamaa kwenda kilimanjaro bus halisimami hovyo naona najiharishia hivi
kufika kibaha bus halijakaa sana limeondoka nakumbuka nilivaa pedo ya jens ngumu kwa kweli uzalendo ulinishinda [emoji23][emoji23] watu kwenye wananishangaa mm wala ujue hata aibu huon
kufika ubungo tukashuka kuingia home moja kwa moja kuoga toka siku hiyo mm tena nimekoma na uroho wangu wa kula kula mm ni mroho
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ngoja nihadithie kidogo tunatoka arusha kwanza ile alfajiri tunaondoka pale home nikapiga chai nzito naambiwa kunywa chai kavu tu mm tena cha uroho acha ninywe mpk nimeshiba
tumepanda bus letu mchana kufika kwenye mgahawa wa dar express acha nile manyama na chips niliekua nae ananiangalia tu ananiambia sijui kama utafika salama hahahhah
kufika mlandizi tumbo silielewi kabisa linaanza kuvuruga nakiona kijasho mwenzangu ananiambia unakumbuka asbh haya ndio majibu yake na uroho wako
tumbo limechachamaa kwenda kilimanjaro bus halisimami hovyo naona najiharishia hivi
kufika kibaha bus halijakaa sana limeondoka nakumbuka nilivaa pedo ya jens ngumu kwa kweli uzalendo ulinishinda [emoji23][emoji23] watu kwenye wananishangaa mm wala ujue hata aibu huon
kufika ubungo tukashuka kuingia home moja kwa moja kuoga toka siku hiyo mm tena nimekoma na uroho wangu wa kula kula mm ni mroho
Ha ha hanha shunie umesemaaa dahngoja nihadithie kidogo tunatoka arusha kwanza ile alfajiri tunaondoka pale home nikapiga chai nzito naambiwa kunywa chai kavu tu mm tena cha uroho acha ninywe mpk nimeshiba
tumepanda bus letu mchana kufika kwenye mgahawa wa dar express acha nile manyama na chips niliekua nae ananiangalia tu ananiambia sijui kama utafika salama hahahhah
kufika mlandizi tumbo silielewi kabisa linaanza kuvuruga nakiona kijasho mwenzangu ananiambia unakumbuka asbh haya ndio majibu yake na uroho wako
tumbo limechachamaa kwenda kilimanjaro bus halisimami hovyo naona najiharishia hivi
kufika kibaha bus halijakaa sana limeondoka nakumbuka nilivaa pedo ya jens ngumu kwa kweli uzalendo ulinishinda [emoji23][emoji23] watu kwenye wananishangaa mm wala ujue hata aibu huon
kufika ubungo tukashuka kuingia home moja kwa moja kuoga toka siku hiyo mm tena nimekoma na uroho wangu wa kula kula mm ni mroho
Kila anaesimulia anaongelea kijasho, kuna uhusiano mkubwa wa kijasho na uharo.Lol! Kijasho chembamba kwa kuhofia kuadhirika lol!
Tumbo la kuharisha ni nomaa sana.
Shuniehahhahahha
....tumbo limechachamaa kwenda kilimanjaro bus halisimami hovyo naona najiharishia hivi....