Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji23]Usiombe uingie choo cha ugenini alafu uanze kufanya yako kabla hujakagua uwepo wa maji,unamaliza unafungua bomba unasikia upepo tu.ilintokea hyo alafu hakukuwa na wakumuomba maji,nkawaza na kuwazua nkapata akili ya kuvuta maji kwenye bomba kwa mdomo namiminia kwenye kopo mpaka yakatosha