Ombaomba wa Tanzania ni wabunifu sana

Ombaomba wa Tanzania ni wabunifu sana

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha wanakupa kadi yenye maelezo mengi, mwisho wa siku kumbe ni msaada tu unatafutwa

Kuna wakina mama wa makanisa yanayoitwa ya Kiroho huwa wanatembea Bar kuomba mchango wa ujenzi wa kanisa kutoka kwa walevi Bar!

Kuna kijana anaomba msaada eti wa kusaidia watu wengine halafu anasema ni sadaka unatoa!
 
Kuna siku tumetoka kama familia kwenda kula mahali fulani.
Akaja hao design ya wamama wa kiroho, baada ya kukosa mteja kwenye meza yetu akaanza kupayuka ovyo ovyo utafikiri kununua bidhaa zake ni lazima.
 
Ni kero haswa, sijui kwa nini huwa wanafikri watu wanaokula bar au hizi sehemu nyingine za nje wana pesa za kununua hivyo vitu vyao! labda huwa wanafikiri wateja wanafanya makusudi tu kutonunua bidhaa zao wakati mtu unakuwa huhitaji kabisa hizo bidhaa. Kuna mmoja aliwahi kuniganda na pilipili yake ya kutengeneza kisa alinikuta nakula nyama choma.
 
Yule maza alikuwa anauza Biblia, tulivyomwambia tuna Biblia majumbani kwetu, akajaa upepo na kuanza kuongea hovyo hovyo kama semaji la ccm
 
Hii nchi kila mtu ni kama ameverugwa, watu wanafosi kila mahali!
 
Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha wanakupa kadi yenye maelezo mengi, mwisho wa siku kumbe ni msaada tu unatafutwa

Kuna wakina mama wa makanisa yanayoitwa ya Kiroho huwa wanatembea Bar kuomba mchango wa ujenzi wa kanisa kutoka kwa walevi Bar!

Kuna kijana anaomba msaada eti wa kusaidia watu wengine halafu anasema ni sadaka unatoa!
Kiujumla utamaduni wa kuombaomba, ambao ulikuwa kitu cha aibu sana, umefanywa kuwa kitu cha kawaida sana.
 
Back
Top Bottom