Kama ni kwaajili ya kesho yake hiyo hela si bora aweke kwenye kibubu.Toa kwa ajili ya kesho yako sio kwa ajili ya huyo anaeomba hiyo ndio kanuni ya sadaka
Kesho akhera/mbinguni huko hakutakuwa na vibubuKama ni kwaajili ya kesho yake hiyo hela si bora aweke kwenye kibubu.
Je kama hataki kwenda mbinguni?Kesho akhera/mbinguni huko hakutakuwa na vibubu
Ndio maana ikaitwa sadaka huwa sio kitu cha lazimaJe kama hataki kwenda mbinguni?
N Msaada, sio sadakaNdio maana ikaitwa sadaka huwa sio kitu cha lazima
Kuna siku tumetoka kama familia kwenda kula mahali fulani.Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha wanakupa kadi yenye maelezo mengi, mwisho wa siku kumbe ni msaada tu unatafutwa
Kuna wakina mama wa makanisa yanayoitwa ya Kiroho huwa wanatembea Bar kuomba mchango wa ujenzi wa kanisa kutoka kwa walevi Bar!
Kuna kijana anaomba msaada eti wa kusaidia watu wengine halafu anasema ni sadaka unatoa!
Hali ya maisha na uchumi kwa ujumla kwa wananchi ni tatizo..!!Hii nchi mijini imejaa ombaomba wanaozurua, sijui shida ni nini.
TASAF ingekuwa hadi mijini na kwenye majiji.
Ni kero haswa, sijui kwa nini huwa wanafikri watu wanaokula bar au hizi sehemu nyingine za nje wana pesa za kununua hivyo vitu vyao! labda huwa wanafikiri wateja wanafanya makusudi tu kutonunua bidhaa zao wakati mtu unakuwa huhitaji kabisa hizo bidhaa. Kuna mmoja aliwahi kuniganda na pilipili yake ya kutengeneza kisa alinikuta nakula nyama choma.Kuna siku tumetoka kama familia kwenda kula mahali fulani.
Akaja hao design ya wamama wa kiroho, baada ya kukosa mteja kwenye meza yetu akaanza kupayuka ovyo ovyo utafikiri kununua bidhaa zake ni lazima.
Yule maza alikuwa anauza Biblia, tulivyomwambia tuna Biblia majumbani kwetu, akajaa upepo na kuanza kuongea hovyo hovyo kama semaji la ccmNi kero haswa, sijui kwa nini huwa wanafikri watu wanaokula bar au hizi sehemu nyingine za nje wana pesa za kununua hivyo vitu vyao! labda huwa wanafikiri wateja wanafanya makusudi tu kutonunua bidhaa zao wakati mtu unakuwa huhitaji kabisa hizo bidhaa. Kuna mmoja aliwahi kuniganda na pilipili yake ya kutengeneza kisa alinikuta nakula nyama choma.
Kiujumla utamaduni wa kuombaomba, ambao ulikuwa kitu cha aibu sana, umefanywa kuwa kitu cha kawaida sana.Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha wanakupa kadi yenye maelezo mengi, mwisho wa siku kumbe ni msaada tu unatafutwa
Kuna wakina mama wa makanisa yanayoitwa ya Kiroho huwa wanatembea Bar kuomba mchango wa ujenzi wa kanisa kutoka kwa walevi Bar!
Kuna kijana anaomba msaada eti wa kusaidia watu wengine halafu anasema ni sadaka unatoa!
Ipo siku mtu usiponunua bidhaa yake anaweza kukuchapa makofiHii nchi kila mtu ni kama ameverugwa, watu wanafosi kila mahali!