goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Niko nimeudhuria kuapishwa kwa rais wa Kenya hapa kasarani stadium, Ruto inauguration "bas naona nyimbo zinazopigwa ni hzi za kidini zaidi.
Mfno Kama huu maarufu Sana eti ombee adui ako aishi siku nyingi ili unavyobarikiwa ajionee kwa machao nyimbo hzi zinalenga kumsalilisha rais uhuru Kenyatta, nyimbo hi imekuwa ikirudiwa rudiwa Mara nyingi na mdj wa shughuli i hi pevu .nikajiuliza lengo hasa Ni nn mbna kama Sina mlenga rais anayemaliza Muda wake Mh Uhuru Kenyatta.
Sioni sababu haswa kuzipiga nyimbo hz kwani nikama kuzodoana tu na kuzimangana tu mmeniabisha sna waKenya naona rais huyu Wenda akawa wa vizasi Zaid kuliko kupaisha uchumi wa Kenya ambapo rais anayemaliza muda wake ameweza kususha kutoka ya 12 had ya 6 katk innch yenye uchumi mkubwa barani Africa, tz tujipange Kenya imepiga hatua haswa
Mfumuko wa Bei Hap Nairobi siiyo wa kitoto unga wa sembe kilo moja ni Kenya shilling 200 sawa na Tanzania elf 4000, imagine bei hzo achilia mbali mafuta ya petroli ni sawa na ksh 190 sawa na tsh 3900 kwa Lita na magari yako mengi barabarani mno hi inaonesha kuwa uchumi wa Kenya ni mkubwa Kia's kwamba Rai wake wanaweza kumudu vilivyo Bei bila kuandamana imagine tz unga Ni shiling elf 1800 na Bado watu wanaliaa mbayaa jmn acheni kabsa.
Nitoe Rai kwa kwa waKenya huu sio wakt wakuwekeana nyimbo za kuzodoana nyinmbo za dini Ni sawa ila uwez kukuta tz eti nyinbo kama hyo inaimbwa ktk uwanja wenye wakuu wa nnchi takriba 17 mbele ya mwenyekt wa au Musa faki mahamud
Sent from Germany technology