Ombea adui yako aishi siku nyingi

Ombea adui yako aishi siku nyingi

goroko77

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2019
Posts
8,845
Reaction score
13,072
Niko nimeudhuria kuapishwa kwa rais wa Kenya hapa kasarani stadium, Ruto inauguration "bas naona nyimbo zinazopigwa ni hzi za kidini zaidi.

Mfno Kama huu maarufu Sana eti ombee adui ako aishi siku nyingi ili unavyobarikiwa ajionee kwa machao nyimbo hzi zinalenga kumsalilisha rais uhuru Kenyatta, nyimbo hi imekuwa ikirudiwa rudiwa Mara nyingi na mdj wa shughuli i hi pevu .nikajiuliza lengo hasa Ni nn mbna kama Sina mlenga rais anayemaliza Muda wake Mh Uhuru Kenyatta.

Sioni sababu haswa kuzipiga nyimbo hz kwani nikama kuzodoana tu na kuzimangana tu mmeniabisha sna waKenya naona rais huyu Wenda akawa wa vizasi Zaid kuliko kupaisha uchumi wa Kenya ambapo rais anayemaliza muda wake ameweza kususha kutoka ya 12 had ya 6 katk innch yenye uchumi mkubwa barani Africa, tz tujipange Kenya imepiga hatua haswa

Mfumuko wa Bei Hap Nairobi siiyo wa kitoto unga wa sembe kilo moja ni Kenya shilling 200 sawa na Tanzania elf 4000, imagine bei hzo achilia mbali mafuta ya petroli ni sawa na ksh 190 sawa na tsh 3900 kwa Lita na magari yako mengi barabarani mno hi inaonesha kuwa uchumi wa Kenya ni mkubwa Kia's kwamba Rai wake wanaweza kumudu vilivyo Bei bila kuandamana imagine tz unga Ni shiling elf 1800 na Bado watu wanaliaa mbayaa jmn acheni kabsa.

Nitoe Rai kwa kwa waKenya huu sio wakt wakuwekeana nyimbo za kuzodoana nyinmbo za dini Ni sawa ila uwez kukuta tz eti nyinbo kama hyo inaimbwa ktk uwanja wenye wakuu wa nnchi takriba 17 mbele ya mwenyekt wa au Musa faki mahamud

Sent from Germany technology
 
Zamani watu washamba tulikuwa tukiwaita wagoroko.

Naona una vinasaba na Mpwayungu.
 
Nyie unga muuziwe hata 5000 kwa kilo
 
Niko nimeudhuria kuapishwa kwa rais wa Kenya hapa kasarani stadium, Ruto inauguration "bas naona nyimbo zinazopigwa ni hzi za kidini zaidi.

Mfno Kama huu maarufu Sana eti ombee adui ako aishi siku nyingi ili unavyobarikiwa ajionee kwa machao nyimbo hzi zinalenga kumsalilisha rais uhuru Kenyatta, nyimbo hi imekuwa ikirudiwa rudiwa Mara nyingi na mdj wa shughuli i hi pevu .nikajiuliza lengo hasa Ni nn mbna kama Sina mlenga rais anayemaliza Muda wake Mh Uhuru Kenyatta.

Sioni sababu haswa kuzipiga nyimbo hz kwani nikama kuzodoana tu na kuzimangana tu mmeniabisha sna waKenya naona rais huyu Wenda akawa wa vizasi Zaid kuliko kupaisha uchumi wa Kenya ambapo rais anayemaliza muda wake ameweza kususha kutoka ya 12 had ya 6 katk innch yenye uchumi mkubwa barani Africa, tz tujipange Kenya imepiga hatua haswa

Mfumuko wa Bei Hap Nairobi siiyo wa kitoto unga wa sembe kilo moja ni Kenya shilling 200 sawa na Tanzania elf 4000, imagine bei hzo achilia mbali mafuta ya petroli ni sawa na ksh 190 sawa na tsh 3900 kwa Lita na magari yako mengi barabarani mno hi inaonesha kuwa uchumi wa Kenya ni mkubwa Kia's kwamba Rai wake wanaweza kumudu vilivyo Bei bila kuandamana imagine tz unga Ni shiling elf 1800 na Bado watu wanaliaa mbayaa jmn acheni kabsa.

Nitoe Rai kwa waKenya huu sio wakt wakuwekeana nyimbo za kuzodoana nyinmbo za dini Ni sawa ila uwez kukuta tz eti nyinbo kama hyo inaimbwa ktk uwanja wenye wakuu wa nnchi takriba 17 mbele ya mwenyekt wa au Musa faki mahamud

Sent from Germany technology

Hayo maneno yaliyokolezwa kwa rangi nyekundu, una kazi kubwa sana ya kushugulikia uandishi wako.

Ni ushauri tu, usijenge chuki mgoroko.
 
Tanzania imeingia vipi kwenye uchumi wa kenyaa kama reference, anyway huu nao ni uzii...
 
Wakenya wanampenda sana Bwana Yesu na hawaoni aibu...that's why wako juu ya hii east Africa. Ukimweka Mungu mbel na ukafanya kazi Kwa bidii lazima ufanikiwe na itakuwa juu tu . Hapa kwetu ukiongelea Mungu unaitwa mdini ila ukiongelea ushetani utashangiliwa. That's the difference.
 
Safi kwa waKenya hakika hawaoni tatizo lolote mbela za watu hakun kuwaita mashehk kule kule Ni pastors ndio wnaaendesha nvhi
 
Back
Top Bottom