Ombea udharauliwe na mtu wa kabila lingine lolote lakini usidharauliwe na Mnyakyusa

Wanyakyusa kama hakupendi, atakwambia machoni pako kwamba sikupendi nakuchukia.

Wanajiamini sana

Akiamua kukudharau, utajuta kuzaliwa

Hivi mtu anaweza akakuambia kuwa wewe ni mfupi, wakati kwa uhalisia wewe ni mrefu (au the vice-versa) na wewe ukabadilika ukawa mfupi? Je, opinions za mtu juu ya urefu wako, zinaweza kuuondoa urefu huo na uka-undergo physical change na kuwa mfupi?
Dharau ni opinions za mtu juu ya mtu mwingine na ambazo haziwiani na opinions za mhusika juu yake yeye mwenyewe (wewe mwenyewe huwa unajionaje, unajifahamuje?). Topic hii ni ndefu kidogo muda hautoshi
 
Twende nayo taratibu, tutafika
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi ni mnyakyusa nilichanganyia makabila matatu namaanisha mzazi mmoja ni mnyaki puree mmoja wa huku pwani amechanganyia mawili ..sijawahi kukua wala kukujua unyakyusani sijui mbeya huko hata kabila kukiongea siwezi



Hivi ni kweli yasemwayo juu yetu mkuu ?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hayana ukweli mkuu
 
Bonge la point...agizia soda ila sio mirinda..ntakupa..
 
Bonge la point la kiutu uzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…