Ombea udharauliwe na mtu wa kabila lingine lolote lakini usidharauliwe na Mnyakyusa

Ombea udharauliwe na mtu wa kabila lingine lolote lakini usidharauliwe na Mnyakyusa

Hakuna mtu hapa duniani anayeweza kukudharau Kama hujamruhusu.
Kukuogopa wanaweza
Kukuchukia wanaweza Ila kukudharau mpaka umpe ruksa wewe binafsi.
Mfano Bujibuji unaendesha Benz Mimi Sina gari, Kama sijajuomba lift, nakomaa na mwendokasi, wewe ukinywa Hennessy nakomaa na konyagi, ukiagiza kitimoto roast naagiza makongoro ya kitimoto Ila sijakuomba, umekaa bar na mwanamke mwenye chura Mimi na kiflati screen changu inch 32. Siongei na wewe na sitaki maongezi na wewe. Utaanzaje kunidharau. Sana sana utakua unaumia roho ukiona baby wangu alivyokua na amani kwa kutopenda makuu.
Bro matajiri hawawaonei wivu masikini kwa chochote kile. Tunajipaga moyo tu eti "Mahusiano yetu sisi yana amani kuliko yao, tumependana kweli sio kwasababu ya hela"

Wenye hela wana enjoy kaka. Afu wanatudharau sana maskini by default. Mwamba anapita kwenye beemer na pisi yake wanakupita kituoni uko na demu wako mnasubiri daladala akuonee wivu?
 
Walisema zipo kama vile konda amekataa kuturudishia chenji[emoji23]
Duuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani aliwasema hivyo?
Watu wana maneno mabaya[emoji849][emoji849]
Hivi hawaonagi yale Machura mliyofungashia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani nijute kisa mnyakyusa kanidharau heeeeell no
 
Bro matajiri hawawaonei wivu masikini kwa chochote kile. Tunajipaga moyo tu eti "Mahusiano yetu sisi yana amani kuliko yao, tumependana kweli sio kwasababu ya hela"

Wenye hela wana enjoy kaka. Afu wanatudharau sana maskini by default. Mwamba anapita kwenye beemer na pisi yake wanakupita kituoni uko na demu wako mnasubiri daladala akuonee wivu?
Labda wanatuogopa lkn kamwe hawawezi kutudhatau. Mtu asipo kupalift hajakudharau kwani gari Ni yake na yeye hawezi kumpa kila mtu lift kisa Hana dharau.
Kwani msichana akikukataa amekudharau? Ukweli Ni kwamba hakuna msichana anayeweza kugawia kila mtu, akifanya hivyo atashusha hadhi yake.
Sisi watuwadogo tuna Raha sana kuliko matajiri. Ulishakua nyumbani kwa tajiri halafu mtuakagonga mlango? Nyumba nzima kuanzia baba wanaingiwa na hofu. Njoohuku kwetu uswazi. Hodi ikipigwa utasikia kila mtu anatabasamu na kusema karibu.
Sisi watu wadogotunaijoy maisha kwani familia nzima utaikuta wanakula pamoja, nenda kwa tajiri uone Kama familia inakaaga pamoja.
 
Ila ni za kawaida,siyo kama watu wanavyozioverrate kwa upersonal humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hata shepu kama magunia ya vifusi vya mchanga[emoji847]
Wana jaji vibaya tu, mbona nimekaa hapa na msista mnyaki yuko poa tu, tena na nyama hizi kama unaamua kula huachi hata mfupa[emoji23]
 
Wana jaji vibaya tu, mbona nimekaa hapa na msista mnyaki yuko poa tu, tena na nyama hizi kama unaamua kula huachi hata mfupa[emoji23]
Wacha😂😂😂
Kwa hicho kidevu mbona hachomoi huyo
 
Back
Top Bottom