"Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia

Maneno huumba hatupaswi kujiambia maneno mabaya, hata kama ni ya utani. Tumeona kauli za watu wa chini zikipelekea anguko kwa serikali tena hata viongozi. Muda unaponya !
 
Kuna story maza alinihadithiaga zaidi ya 15 years ago kuna ndugu yake Kule kijijini alikuaga na gari alipata nayo ajali kama mara mbili hivi,basi akawa anawaambia hii gari ngoja tu aiiuze itakuja kumuua bure..kweli akaiuza,. Miezi kadhaa akapewa lift kwenye gari hiyo kwenda mjini na íkapata ajali akafa peke yake
 
Aisee...
 
Mama alisema nikikua ntakuwa rubani,leo naendesha taxi mjini
 
Wewe mzee nini? Mbona unahangaika sana?

1.Hueleweki hata unaandika nini (kahoja kadogo maelezo mengiii! Unapenda soga sana)

2.Unaelezea mambo hata yasiyokuhusu/usiyoyajua; unajiona kadhi/mufti ni wewe, shemasi/mchungaji ni wewe, hakimu/mwanasheria ni wewe, mwandishi wewe, msanii wewe, na kadhalika (kama hapo kwenye maswala ya mungu na dini hebu soma tena ulichoandika- blah blah nyingi mpaka unajikuta unakashifu watu na dini zao)

3.Unapenda kutupastia link za mabandiko uchwara yako ya nyuma (yaani unakuwa kama hujiamini vile- na kwa staili hiyo unayoitaka mtu itabidi atumie zaidi ya wiki au mwezi kusoma bandiko lako moja maana ndani ya bandiko kuna mabandiko na ndani ya hayo kuna mengine tena na tena)

4.Kubwa kuliko yote ni hii ya kurudia uzi (huu uzi wako niliuona/niliusoma kipindi fulani zamani kidogo sasa nashangaa eti leo naukuta unasoma ni wa saa kadhaa zilizopita!)
 
Samahani naomba kukuuliza... haya maelezo nimekuwa nikiyaona mara kadhaa yakiambatana na hii picha, je unaweza kuniambia kidogo ni nini chanzo?
 
P umeomba umepewa na kufunguliwa

Hongera
 
Today is the day
Tumuombee mwanaJF Pascal Mayalla apitishwe

Wote tuseme Amen!
Mkuu Yahana Mbatizaji, johnthebaptist , amen, amen!.
Hili jambo nimelianzia hapa
Nikakumbana na Kikwazo cha kwanza hapa Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie
Nikatoa ushauri kwa chama changu kuhusu EALA Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo
Kazi ya Uelimishaji Umma kuhusu EAC inaendelea Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano
Tukaitwa Dodoma kuhojiwa, huko nikakutana na A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!
Sasa leo ndio kikao cha CC kuchuja majina, hivyo sala zenu zinahitajika sana kuliko wakati mwingine wowote!.
Mungu Nisaidie!.
P
 
Kaka Paskali,
Asante kwa bandiko zuri Kwa nyongeza-

Kuna mtu aliewahi kumtabiria rais wa awamu ya tano kufa, ndiyo alikuwepo- Sheikh Yahya.

Kuna mtu amewahi kumtabiria Rais wa awamu ya 6 kuwa Rais wa term moja na mwanamke? Ndio, alikuwepo-Sheikh Yahya.
 
A thought is an Energy!
Energy can never be created neither nor Destroyed...

A thought doesn't manifests into something until when it is said.

Then a WORD becomes material After which was a Thought!

Before it is a thought...there must be a DESIRE....

THAT CIRCLE goes on and on and on...

A smart leader has to speak a well laid speach..After it is well measured!

President Obama was one of SMART leaders..
He didn't take any audience for Granted...

He chosen words and place them appropriately.

Just a complement to what you said Brother Paskali.
 
Ni kweli kuhusu utabiri huo, hili la rais mwanamke ni kweli limetokea, sasa rais ni mwanamke, Samia, na hata hoja ya urais wa Samia kuwa ni wa term moja, hata mimi pia niliwahi kuambiwa na nikasema humu Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, Sauti Imeshauri Mama Amkabidhi Kwanza Dr. Mwinyi, Urais wa JMT, Ndipo Aje Mwanamke!

Utabiri wa Sheikh Yahya ulisema baada ya rais mwanamke kukaa term moja, upinzani utashika nchi, but its very unfortunately Tanzania hatuna kabisa opiinzani wa kuiondoa CCM na kushika dola.

Mimi kwa estimates zangu, upinzani utaanza tena kufurukuta uchaguzi wa 2030!. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
 
Lakini umeshasema tusipuuzie maono ya watu tusiowajua, ingawa siamini sana kwenye utabiri lakini to some extent naona consistency ya matukio kwa sehemu fulani, pengine ndo impossibilities zinakuwa possible ingawa ndo hvyo tena mambo ya dhana, kuyasimamia ni ngumu.
 
Mkuu Snowflake, kwanza asante sana for complementing this, mimi nimesema kauli huumba, sikujua kumbe the power behind kauli is the power of thought.
Thanks for this.
Nimefarijika sana kuona ma philosophers humu jf tukiongezeka.

Thanks.
P.
 
Kazi ya kutoa kauli umba inaendelea the latest kauli umba ni hii, Ikitokea umeshauri mtu avae Hijab nyekundu, huyo mtu akavaa, utajisikiaje? Kwa hili, Big Up Rais Samia na Serikali yako kwa kuwa wasikivu
Haya wale wenye kujua kupiga hesabu za timing waangalie bandiko hili limepandishwa lini, lilishauri nini na baadae angalia hii picha
Hiyo Hijab ni Nyekundu!, hilo gauni ni Navy Blue!.
Wale mnaomini kwenye probability ya yumkini ya kuyumkinika aminini!, mnao amini ni just a coincidence tuu aminini!.
Mimi naendelea kusisitiza nilijisemea tuu na likatokea!.
Such an amazing coincidence inapotokea umesema jambo fulani na kweli likatokea, then hii inakuwa sio just a coincidence bali a coincidence iliyokuwa willed na powers of will, "Will Power" itokee!.
Hivyo Watanzania wenzangu, kaeni mkao wa kula, katiba mpya hiyo iko njiani kama tulivyo I will hapa!. Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…