Uchaguzi 2020 Ombi: CHADEMA isitishe kampeni Karatu, hakuna haja tena, pesa inayotumika ipelekwe majimbo mengine

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hili ni ombi langu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema , Shughuli ya kampeni za uchaguzi katika jimbo la Karatu isitishwe , hii ni kwa sababu chama hicho kimekwishashinda uchaguzi huo kwenye jimbo hilo hata kabla ya kupiga kura , hakuna namna yoyote ya watu wa jimbo hili kukengeuka .

Your browser is not able to display this video.

 
U

Ila Tundu Lisu ni kiboko. Aliikomalia kaulimbiu ya hapa kazi tu na ile ya tumetekeleza kwa kishindo kwa kuihusisha na matendo maovu hadi wakaacha kuzitumia. Nadhani hata kwenye ndege na meli watavifuta
Lissu ni Shujaa
 
Karatu mna sifa mpaka mnaboa.
Ingekuwa watu kujaa kwenye mkutano NI ushindi Basi lowasa angekuwa rais saa hizi
Hapo uliza waliojiandikisha
Uliza wanaoipenda Chadema
Usifikiri mtu kuja kwenye mkutano wako ndio anakupenda
Huo ndio ujinga was michadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…