Uchaguzi 2020 Ombi: CHADEMA isitishe kampeni Karatu, hakuna haja tena, pesa inayotumika ipelekwe majimbo mengine

Uchaguzi 2020 Ombi: CHADEMA isitishe kampeni Karatu, hakuna haja tena, pesa inayotumika ipelekwe majimbo mengine

Ingekuwa watu kujaa kwenye mkutano NI ushindi Basi lowasa angekuwa rais saa hizi
Hapo uliza waliojiandikisha
Uliza wanaoipenda Chadema
Usifikiri mtu kuja kwenye mkutano wako ndio anakupenda
Huo ndio ujinga was michadema
kwani Lowassa alishindwa ?
 
Tena alifeli vibaya sanaaaaa
Angalia hii picha
2332550_matokeo_uchaguzi_3.jpg

Halafu uambie umma kwamba umeelewa nini .
 
Ingekuwa watu kujaa kwenye mkutano NI ushindi Basi lowasa angekuwa rais saa hizi
Hapo uliza waliojiandikisha
Uliza wanaoipenda Chadema
Usifikiri mtu kuja kwenye mkutano wako ndio anakupenda
Huo ndio ujinga was michadema
Ingekuwa watu kujaa sio kushinda basi magufuli asingekodisha watu kuletwa mkutanoni.

Listen you poor man! Large group of people on political ralliea indicates ho your candidate ia upported and well accepted among voters.

Kama sio hivyo malori na mabasi Magufuli asingewakusanya. Anawakusanya kwa malori na kulipwa pesa ili angalau aondokane na aibu ya mikutano yake ingedoda sana.
 
Magufuli hajawahi kukodisha watu hatasiku moja
Magufuli hata angelala tu chamwino
Anashinda
Hao watu wanaokwenda kymsikiliza NI kwa utashi wao
Hv unawweza kumlazimisha ngombe kunywa màji?
Magu qnawatia kichaa wezi wote wa rasimali za nchi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hili ni ombi langu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema , Shughuli ya kampeni za uchaguzi katika jimbo la Karatu isitishwe , hii ni kwa sababu chama hicho kimekwishashinda uchaguzi huo kwenye jimbo hilo hata kabla ya kupiga kura , hakuna namna yoyote ya watu wa jimbo hili kukengeuka .

View attachment 1590249
View attachment 1590250View attachment 1590251
Mgombea wetu wa CCM akiwa Zanzibar anawaeleza Wazanzibar kuwa wasiondoke uwanjani hapo maana akimaliza hotuba bado Kuna show kabambe kutoka kwa wasanii na watamuona nae akicheza.... Wazenji nao viburi wakaondoka wakati anazungumza. Aisee!
 
Magufuli hajawahi kukodisha watu hatasiku moja
Magufuli hata angelala tu chamwino
Anashinda
Hao watu wanaokwenda kymsikiliza NI kwa utashi wao
Hv unawweza kumlazimisha ngombe kunywa màji?
Magu qnawatia kichaa wezi wote wa rasimali za nchi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Anamtia kichaa nani?? Lisu kamshindwa. Katumia tume imekwama katumia msajiri amekwama katumia polisi amekwama. Magufuli kachanganyikiwa hadi analala kwenye mavumbi analamba akiomba msamaha. Tunasema hatumpi hata ajigalagaze.
 
Humpi wewe
Na atashinda
Lissu ndio amsumbue magu????
Eti ametumia tume kashindwa!!!!
Nyie subirini mtanyooka mpaka 2025
Mpaka mjifunze kufanya kazi na kuheshimu kazi na kuacha wizi
 
Mwaka huu hachomoki. Ameshakuwa kama spare tyre siku tatu kampeni siku saba gereji
Yaaani hata akilalà tu asubiri tar 28 anashinda
Wee inaonekana ulitolewa cheti feki wewe
Mchukie magu lakini kaa kwenye mstari ulionyooka hutopata shida
Acheni maisha ya ujanja ujanja
 
Mwaka huu hachomoki. Ameshakuwa kama spare tyre siku tatu kampeni siku saba gereji
Wewee Sio Mungu happy unajiona mzima kwsho unawweza kuwa kitandani vilevile
Eti hatuchomoki
Tukutane Tena baada ya 28 oct
 
Back
Top Bottom