Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
kwani Lowassa alishindwa ?Ingekuwa watu kujaa kwenye mkutano NI ushindi Basi lowasa angekuwa rais saa hizi
Hapo uliza waliojiandikisha
Uliza wanaoipenda Chadema
Usifikiri mtu kuja kwenye mkutano wako ndio anakupenda
Huo ndio ujinga was michadema
Tena alifeli vibaya sanaaaaakwani Lowassa alishindwa ?
Angalia hii pichaTena alifeli vibaya sanaaaaa
Ingekuwa watu kujaa sio kushinda basi magufuli asingekodisha watu kuletwa mkutanoni.Ingekuwa watu kujaa kwenye mkutano NI ushindi Basi lowasa angekuwa rais saa hizi
Hapo uliza waliojiandikisha
Uliza wanaoipenda Chadema
Usifikiri mtu kuja kwenye mkutano wako ndio anakupenda
Huo ndio ujinga was michadema
Kule ni Cecilia Pareso jembe.Hivi karatu ndiyo kuna yule simba jike wa Serengeti?
Kuondoa ccm madarakani itawachukua muda Sana
una umri gani ?Kuondoa ccm madarakani itawachukua muda Sana
Hamko serious hataki kidogo
Endeleeni kuwewwseka
Hyo picha haina chochote Cha ajabu
Magufuli hajawahi kukodisha watu hatasiku mojaIngekuwa watu kujaa sio kushinda basi magufuli asingekodisha watu kuletwa mkutanoni.
Listen you poor man! Large group of people on political ralliea indicates ho your candidate ia upported and well accepted among voters.
Kama sio hivyo malori na mabasi Magufuli asingewakusanya. Anawakusanya kwa malori na kulipwa pesa ili angalau aondokane na aibu ya mikutano yake ingedoda sana.
Mgombea wetu wa CCM akiwa Zanzibar anawaeleza Wazanzibar kuwa wasiondoke uwanjani hapo maana akimaliza hotuba bado Kuna show kabambe kutoka kwa wasanii na watamuona nae akicheza.... Wazenji nao viburi wakaondoka wakati anazungumza. Aisee!Hili ni ombi langu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema , Shughuli ya kampeni za uchaguzi katika jimbo la Karatu isitishwe , hii ni kwa sababu chama hicho kimekwishashinda uchaguzi huo kwenye jimbo hilo hata kabla ya kupiga kura , hakuna namna yoyote ya watu wa jimbo hili kukengeuka .
View attachment 1590249
View attachment 1590250View attachment 1590251
Ona ulivyo mbumbumbuuna umri gani ?
Anamtia kichaa nani?? Lisu kamshindwa. Katumia tume imekwama katumia msajiri amekwama katumia polisi amekwama. Magufuli kachanganyikiwa hadi analala kwenye mavumbi analamba akiomba msamaha. Tunasema hatumpi hata ajigalagaze.Magufuli hajawahi kukodisha watu hatasiku moja
Magufuli hata angelala tu chamwino
Anashinda
Hao watu wanaokwenda kymsikiliza NI kwa utashi wao
Hv unawweza kumlazimisha ngombe kunywa màji?
Magu qnawatia kichaa wezi wote wa rasimali za nchi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwaka huu hachomoki. Ameshakuwa kama spare tyre siku tatu kampeni siku saba gerejiKuondoa ccm madarakani itawachukua muda Sana
Hamko serious hataki kidogo
Endeleeni kuwewwseka
Hyo picha haina chochote Cha ajabu
Humpi weweAnamtia kichaa nani?? Lisu kamshindwa. Katumia tume imekwama katumia msajiri amekwama katumia polisi amekwama. Magufuli kachanganyikiwa hadi analala kwenye mavumbi analamba akiomba msamaha. Tunasema hatumpi hata ajigalagaze.
Yaaani hata akilalà tu asubiri tar 28 anashindaMwaka huu hachomoki. Ameshakuwa kama spare tyre siku tatu kampeni siku saba gereji
Wewee Sio Mungu happy unajiona mzima kwsho unawweza kuwa kitandani vilevileMwaka huu hachomoki. Ameshakuwa kama spare tyre siku tatu kampeni siku saba gereji
Dr mihogo akiona hivi anajisikaje huko aliko SwedenHili ni ombi langu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema , Shughuli ya kampeni za uchaguzi katika jimbo la Karatu isitishwe , hii ni kwa sababu chama hicho kimekwishashinda uchaguzi huo kwenye jimbo hilo hata kabla ya kupiga kura , hakuna namna yoyote ya watu wa jimbo hili kukengeuka .
View attachment 1590249
View attachment 1590250View attachment 1590251
Anatamani kurudi lakini ndio hivyo tena alisha saini mikataba migumu zaidi ya freemansonDr mihogo akiona hivi anajisikaje huko aliko Sweden