Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlaleo,Tatizo la Saigoni ukikaa ukianza kuzungumzia Siasa watu wote wanatimka...
Hata wewe unakarbishwaWanachama wenu ndio kina JK, Marehemu Ukiwaona Mzuzuri,Idd Simba etc?
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Hussein amefariki?
Kuhusu Chico nilipata habari, Allah amrehemu yeye na aturehem nasi pia.
dah...Garincha marehemu? masikini my old friend.Maalim Faiza,
Hussein jina lile la ''Yanga,'' ni ''nickname,'' tulimpa kwa kuwa wakati
Young Africans club yao iko Sukuma na Mafia alikuwa hapungui hapo.
Unajua sote sisi tulikuwa na ''nicknames,'' na kwa wengine zikaua hata
majina yao halisi kabisa.
Juzi wakati naandika taazia ya Chico nikamtaja Garincha jina lake halisi
silijui kabisa ikabidi niulize na niliyemuuliza akanambia na yeye halijui
lakini usiku akanipigia simu akambia anaitwa Ramadhani Mohamed
Kondo.
Wote hawa ni marehemu.
Allah awarehemu.
Amin
Kuna siku Nyani Ngabu alikambia msalimie Zomba, ukamjibu Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun. Unataka kusema Zomba alifariki? kama ni hivyo basi poleni na Mwenyezi Mungu amrehemu
Aamin na Mwenyezi Mungu ampunguzie adhabu ya kaburiInna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun, mwaka jana.
Mbona wewe una magroup saba ya WhatsApp, yote ya kazi gani? Vijana wa rika lako huwa mnakutana wapi? Kama mna sehemu yenu ambayo hukutana kuongea mambo yenu basi jua hata wanachama wa Saigon wanakutana kuongea mengi yaliyopo katika jamii kama nyie.Dah... Hivi lengo kuu la Saigon kwa nyakati hizi ni nini?
unamzungumzia zomba huyu rafike Matola ?Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun, mwaka jana.
Rohombaya,Dah... Hivi lengo kuu la Saigon kwa nyakati hizi ni nini?
Jackline yale yalikuwa maskhara tu. Kama vile usikiapo watu kutoka Bara wakisema Waswahili wanywa kahawa.Mzuzuri alikuwa hawapendi watu wa mikoani,usemi wake mkubwa ni wamekuja mjini na gari la jicho mmoja(train)