Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Kunta...Mashaallah, Mwenyezi Mungu akuongezee hekima!
Amin.
Hayo maneno si yangu ni ya Mtume SAW.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunta...Mashaallah, Mwenyezi Mungu akuongezee hekima!
Saul,Mohammed Said tunaomba utupatie historia ya club ya Saigon na why ilikuwa influential na ilikuwaje au factors zipi zilipelekea kushuka au kufa kwake?
Je kulikuwa na social members only social clubs zingine haoa Dar apart from Saigon and later on Dar Islamic Club?
Mtaa wa Udoe pale kwenye kona ndiko alikuwa akiishi Al Marhum Sheikh Nur deeen Al Shadhly...Allah amrehem.Naam.
Na jirani yangu mwingine wa Udoe kila nikipita Saigon nnakutana nae, Hussein Yanga.
Maalim Faiza,Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Hussein amefariki?
Kuhusu Chico nilipata habari, Allah amrehemu yeye na aturehem nasi pia.
Cha kujiuliza mbona alikuwa akija klabuni hapa Pan Africa hakai?Aisee unajua najaribu kukufananisha , mwandiko na hoja zako, sasa ndio nimekuelewa, kumbe ni mdaslaam mwenzetu tena wa mjini sasa ndio nimethibitisha,
Saigoni ya Sasa imebaki kijiwe cha Drafti tu kikiongozwa na Pambwe hakosi (Makosela Draw), Namkumbuka Rafiki yangu Marehemu Maneno...Na Mastory yake Lukuki nasikitika nasikitika nilichelewa kupata habari za kifo chake sababu nilikata mguu kwa muda kiasi... Ila Wamama wa Kariakoo wabaya Sana ndio kina FaizaFoxy wakamuumiza tumbo(Chango?) Masikini alifariki kwa Maumivu sana. Kuna Picha tulipiga pale iliharibika baada ya kulowana na maji... ila Hamisi Msukuma ana copy..Mlaleo,
Hilo sina hakika ila ninachojua si watu wa kupenda siasa kwa kiwango
cha majadiliano lakini sidhani kama inavunjwa baraza kwa ajili ya siasa.
Nilichokuwa na uhakika nacho ni mazungumzo ya mpira yanapendwa
mno hata kwenye Dar es Salaam Saigon Group mazungumzo mengi ni
ligi ya Uingereza na Simba na Yanga.
Kila watu wana mila yao.
Ndio hapo sasa tujiulize.Cha kujiuliza mbona alikuwa akija klabuni hapa Pan Africa hakai?
Saigoni ya Sasa imebaki kijiwe cha Drafti tu kikiongozwa na Pambwe hakosi (Makosela Draw), Namkumbuka Rafiki yangu Marehemu Maneno...Na Mastory yake Lukuki nasikitika nasikitika nilichelewa kupata habari za kifo chake sababu nilikata mguu kwa muda kiasi... Ila Wamama wa Kariakoo wabaya Sana ndio kina FaizaFoxy wakamuumiza tumbo(Chungo?) Masikini alifariki kwa Maumivu sana. Kuna Picha tulipiga pale iliharibika baada ya kulowana na maji... ila Hamisi Msukuma ana copy..
Huwa siwaelewi sometimes unakuta mtu ni Imam lakini ana mdomo mchafu wa Matusi hayahadithiki why! au kijiweni ni sehemu ya kupunguzia stress...!Mlaleo hivyo ndivyo tunavyoitaka club iwe tukutane tucheze draft na dhumna. Hatujataka iwe kinyume cha hivyo.
Mumba...
Allahuma Amin.
Mumba...
Amin.
yawezekani nimeandika sivyo hiyo sentensi.
Hussein yu hai na Allah ampe maisha tawil.
Waliofariki ni Chico na Garincha..
Hussein yuko msikiti wa Manyema vipindi vyote anaswali hapo.
Humkosi.
Samahani Mzee wangu ilikuwa ni katika habari za hapa na pale Inshallah mwema yawe juu take piaKiatu...
Tuzungumze mema ya maiti zetu kwani ikiwa umemzulia hawezi kujitetea.
Hii ni klabu hapa Dar es salaam ambayo kila Rais wa Tanzania alikuwa member (sina hakika kama huyu wa sasa, Magufuli naye ni member)
Wazee wetu na walikuwa members toka miaka hiyo sisi tunakua ya 1980's (wengine tumekuja kuiona baada ya kuhamia Kariakoo Mtaa wa sikukuu).
Mohammed Said tunaomba utupatie history ya club ya Saigon na why ilikuwa influential na ilikuwaje au factors zipi zilipelekea kushuka au kufa kwake?
Kwa nini haikuendelea kama social clubs zingine? Je wana assets na influence yao ilikuwa inaishia Dar tuu au au Dar and beyond?
Je Zanzibar kulikuwa na club similar to Saigon club?
Je bado wanafanya Khitma na kuftarisha mwezi wa Ramadhani?
Membership yao kupata nafahami ni ngumu na mpaka pewee reference, lakini je kuna restrictions zozote zile?
Kuna kipindi Iddi Simba walianzisha social club inaitwa wazawa je ilikuwa ni splinter group ya Saigon au?
Why the name Saigon?
Je kulikuwa na social members only social clubs zingine hapa Dar apart from Saigon and later on Dar Islamic Club?
Kwa nini Khitma lazima zifanyika pale kariakoo? Watu tumekuwa wengi na nafasi ndi ndogo kwa nini hizi annual events zisifanyika Mnazi Mmoja?
Je wameifanyia nini jamii? Halafu naomba unieleze what is this emotional attachment na hii club?
KLABU YA SAIGONI YAWAREHEMU WAZEE
Balozi Cisco Mtiror akisimamia ugawaji wa pilau baada ya kisomo cha kuwarehemu wazee wa Klabu ya Saigon mtaa wa Sikukuu jijini Dar Jumapili hii. Klabu hiyo ya michezo ni maarufu sana kwa watoto wa mjini ambapo wadau wengi mashuhuri waliitumia kwa kubadilishana mawazo na kucheza soka.
Mgeni rasmi katika Hitma hiyo, Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar Mh. Dk. Gharib Mohamed
Mjumbe wa kamati kuu ya saigoni, Mohamed Haruni (shoto) akiwa na mwanachama mwandamizi wa saigoni Ally "Stone" Mzuzuri
Balozi Cisco akiwa na wanachama wa zamani na wa sasa wa Saigoni
Mswahili ni mtanzania anayefuata utamaduni wa waarabuWaswahili = waarabu.
Wa bara msifikiri ni nyie waswahili.
Ebaeban,Inasemekana RPC Mohamed Chicco alikuwa na ushirikiano mzuri sana na kunguru ni kweli, na hata mali zake nyingi kazipata kupitia hao kunguru