Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Utapata tabu sana nakuonea huruma katika sukuma gang wanaopata shuruba nadhani unaongoza .Kuna kipi huko sumbawanga?
Je, huko bei za bidhaa zimepungua?
Je huko umeme upo masaa 24 haukatiki?
Je huko maji yapo masaa 24 siyo ya mgao?
Je huko bei za mafuta zipo chini sana?
Je huko dola inapatikana?
Je huko bei ya Cement haizwi elfu 20,000 badala ya 15?
Je huko mtu hafungwi kisa kamuimba mamako?
Sikuelewi unayoongea.Umewahi kuona nikibisha? Mbona nimemsupport au...nataka niombe tena...
Wamelima sana na sasa wanauza mazao kwa wingi sana nje ya Tanzania.Kuna kipi huko sumbawanga?
Je, huko bei za bidhaa zimepungua?
Je huko umeme upo masaa 24 haukatiki?
Je huko maji yapo masaa 24 siyo ya mgao?
Je huko bei za mafuta zipo chini sana?
Je huko dola inapatikana?
Je huko bei ya Cement haizwi elfu 20,000 badala ya 15?
Je huko mtu hafungwi kisa kamuimba mamako?
Kwa lipi?Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Pamoja na uwezo duni wa Rais Samia katika kuongoza na kuamua katika mambo muhimu ya kitaifa lakini bado ana uwezo mzuri sana wa kusikiliza kelele za wananchi na kujaribu kuzifanyia kazi. Upande wa pili ni mtu mwenye sense ya utu na uungwana. Hizi tabia mbili hakuwa nazo kabisa mtangulizi wake (Jiwe)
Ni rais wa hovyo kuwahi kutokea!Utapata tabu sana nakuonea huruma katika sukuma gang wanaopata shuruba nadhani unaongoza .
Eeh iyo 1500 ndio inakujengea vituo vya afya na barabara huko kinijini kwenu namanyele.Ni rais wa hovyo kuwahi kutokea!
Yani pamoja na umeme kuwa wa mgao lakini bado ukijinunulia ka luku kako ka elfu 5 bado unakuta kuna 1,500 imefyekwa?