Ombi kwa Rais Samia, tunakushukuru kwa mahubiri mazuri kuhusu haki, tunakuomba utende unachohubiri yasibaki kuwa maneno tuu lakini vitendo ni tofauti

Ujumbe umefikia ni juu ya wahusika kuufanyia kazi. Umezungumzia hatua za kisheria na haki za kisheria walizonazo abiria elimu hii itasaidia mbeleni na kutoa fundisho kwa wamiliki badala ya kusingizia walitishwa na bunduki. Kama dreva angesema huyu mtu nampeleka kituoni hata askari aliyekuwepo angeweza kusaidia badala ya kumshusha abiria kienyeji.
Mawakili wetu waache kukimbilia kesi zenye mvuto badala yake wafungue kesi Kama hizi matukio yasijirudie.
 
Kuna Dola na chama Dola. Tuwaalike "Scotland Yard" waje wachakarike kisha ripoti isifichwe tu, itolewe hadharani.
 
Wewe unashukru huku Watanzania wakiuawa? Hivi ni nani amewaroga Watanzania kwamba Rais hakosolewi ? Kusifia,kushukru hata kama ni jambo la hovyo na kushindwa kumkosoa Rais ni ama ni uoga ,ujinga au una maslahi binafsi
 
Ahsante sana kwa somo. Lingine siyo BUTT ila BOOT ya gari๐Ÿ˜œ
 
Ebhana ahsante, kimsingi unataka watu wazijue haki zao na kuzitekeleza kila upande.

Hii iende pote, asitokee hata mtu mmoja mtaalamu au mtu baki wa kujigamba 'unanifundisha kazi'. Hii itaanza kwa kila raia kujua basic ABCs za kazi mbalimbali katika jamii;
Tambua abcs za daktari anafanya nini na nini haki na wajibu wake
Tambua abcs za fundi anapaswa kufanya nini na ni nini chombo kina sheria zake
Tambua abcs za askari ana shughuli gani na ni nini haki na wajibu wa kila pande
Tambua abcs za mwenza
Abcs za hakimu
Abcs za dreva na kondakta
Abcs za kiongozi
Abcs za katiba na sheria
Abcs za vyombo vya nyumbani
Abcs za watoto
Etc etc..

Sasa tatizo tunalirudisha kwetu binafsi je tunapenda kujifunza? Je ni kwa dhati tunapenda kufuta ujinga? Je watanzania ni wadadisi? Na udadisi ndio akili.

Udadisi utaondoa visa vya wananchi 'kuhisi' na kuua watu wasio na hatia(mfano kesi za watekaji watoto), maana kupitia udadisi watauliza na kujibiwa na wataujua ukweli. Na udadisi huohuo utasaidia wananchi wasihisi mtu ni askari kumbe sio maana watauliza maswali watajibiwa na wataujua ukweli!
 
Easier said than done
 
HBD Rais Samia!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ