PostGE2025 Ombi kwa Serikali; Baada ya majibu ya Tume ya Uchunguzi hiyo CHADEMA inayoshirikiana na TEC ifutiwe usajili wake

PostGE2025 Ombi kwa Serikali; Baada ya majibu ya Tume ya Uchunguzi hiyo CHADEMA inayoshirikiana na TEC ifutiwe usajili wake

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,873
Reaction score
15,267
Friends and Our Enemies

hivi unadhani kutenda na kusimamia haki na sheria ni jambo la masikhara?Hata JF kuna rules and regulations,cha ajabu sasa tukianzisha bakora dhidi ya TEC zikiwachoma wanazifuta, ingekuaje mngekuwa mnaongoza dola mngekuwa na uvumilivu?

"In life there are rules,and if not we live with animals"...Dante...
Tuhusike na kichwa cha habari hapo juu.

Kwa kuwa upo ushahidi mwingi hata wa picha mjongeo ambapo viongozi wa chadema akiwemo. Tundu Lisu na John Heche wakiongea kuhamasisha fujo na vurugu kwa kusema watakinukisha na kusema pia wako determined kuhakikisha uchaguzi haufanyiki na wameshaweka mipango yao hiyo kwa kuongea na viongozi wao wa dini kwa nyakati tofauti tofauti.

Ombi letu kwa serikali ni kwamba,kwa kuwa mmeshaunda Tume huru kufanya uchunguzi basi hiki chama cha chadema hakina manufaa kwa demokrasia na maendeleo ndani ya nchi hii,kama. Vile yalivyofutwa makanisa ya gwajima mchochezi basi ifanye hima na haraka kukifuta chama hiki.

Na TEC wameshajivua nguo wao wenyewe, nia yao ovu ya kutaka kuitumbukiza nchi hii kwenye genocide kama walivyofanya huko Rwanda 1994 imefeli.

Sisi tutailinda amani ya nchi hii kwa wivu mkubwa kama vile ambavyo wazee wetu walivyopigania uhuru wa nchi hii wakati huo TEC wakiwakumbatia wakoloni.
 
Tec wame piga kwenye mshono, hadi chawa wa mama una weweseka kwa mawazo.

#hakuna maridhiano na wahuni.
TEC WAMEJIVUA NGUO WENYEWE NA WASHIRIKA WAO

SAFARI HII HAKUNA KUCHEKA NA KIMA,TUTAHAKIKISHA HICHO CHAMA KINAFUTWA KAMA LILIVYOFUTWA KANISA LA GWAJIMA

NA HAKUTAKUWA NA NYWINYI,NYWINYI WALA NYWINYWINYWIIII...
 
Weka ushahidi wa wapi zimetoka kura 31m, yaani tarehe 9 tunakwenda kuwafuta majizi na wauaji. Jiandae kuwapelekea chakula gerezani unaowatetea leo.
 
Nyie wangese safari hii kimewaramba,,,, mtajisemesha mpaka midomo ipinde. Mlizoea kuwaona watz bibi zenu enheee, now watu washaamka, watz hawategemei CHADEMA Tena kuwatoa viongozi makafiri wauaji wazinzi kama ninyi. So kuwa mvumilivu dawa iwaingie, na tarehe 9/12 kama dawa na mabango yetu, nyie njooni na vifaru kabisa,,,MAMAEEE.

Siyo shida zetu...

Hiyo tarehe 9 sisi tunaomba mbali sana kwa taarifa yako...

Nyinyi mafala sisi tunawatamani mtoke hata muda huu kisha muone tutawafanya nini kenge nyinyi.
 
Friends and Our Enemies

hivi unadhani kutenda na kusimamia haki na sheria ni jambo la masikhara?Hata JF kuna rules and regulations,cha ajabu sasa tukianzisha bakora dhidi ya TEC zikiwachoma wanazifuta,ingekuaje mngekuwa mnaongoza dola mngekuwa na uvumilivu?

"In life there are rules,and if not we live with animals"...Dante...
Tuhusike na kichwa cha habari hapo juu.

Kwa kuwa upo ushahidi mwingi hata wa picha mjongeo ambapo viongozi wa chadema akiwemo.Tundu Lisu na John Heche wakiongea kuhamasisha fujo na vurugu kwa kusema watakinukisha na kusema pia wako determined kuhakikisha uchaguzi haufanyiki na wameshaweka mipango yao hiyo kwa kuongea na viongozi wao wa dini kwa nyakati tofauti tofauti.

Ombi letu kwa serikali ni kwamba,kwa kuwa mmeshaunda Tume huru kufanya uchunguzi basi hiki chama cha chadema hakina manufaa kwa demokrasia na maendeleo ndani ya nchi hii,kama.vile yalivyofutwa makanisa ya gwajima mchochezi basi ifanye hima na haraka kukifuta chama hiki.

Na TEC wameshajivua nguo wao wenyewe,nia yao ovu ya kutaka kuitumbukiza nchi hii kwenye genocide kama walivyofanya huko rwanda 1994 imefeli.

Sisi tutailinda amani ya nchi hii kwa wivu mkubwa kama vile ambavyo wazee wetu walivyopigania uhuru wa nchi hii wakati huo TEC wakiwakumbatia wakoloni.

Wajinga jinga bado mnajidanganya na chadema mna matatizo na Watanzania wa rangi zote sio Chadema🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️ . Chadema wamefungiwa toka mwezi wa sita!
 
Nyie wangese safari hii kimewaramba,,,, mtajisemesha mpaka midomo ipinde. Mlizoea kuwaona watz bibi zenu enheee, now watu washaamka, watz hawategemei CHADEMA Tena kuwatoa viongozi makafiri wauaji wazinzi kama ninyi. So kuwa mvumilivu dawa iwaingie, na tarehe 9/12 kama dawa na mabango yetu, nyie njooni na vifaru kabisa,,,MAMAEEE.
Tunasemaje,why uwait hadi tarehe 9

Waambieni hao mabwana zenu TEC wawapange mje hata leo...mnaogopa nini eti unasubiri tarehe 9?

Sisi tunawatamani nyinyi vibaka kuliko tunavyotamani uhai wetu,mafala hamuwezi kuchezea amani ya nchii kisha tuwachekee...njooni hata.muda huu kenge nyinyi
 
Wajinga jinga bado mnajidanganya na chadema mna matatizo na Watanzania wa rangi zote sio Chadema🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️ . Chadema wamefungiwa toka mwezi wa sita!
Kama plan yenu na TEC ilikua ni hiyo na mlidhani hamtafahamika basi mmefeli.

Na safari hii show itachezwa kibabe sana
 
Hakika,vichaa hawa tumecheka nao sana

Badala ya kuwapeleka mirembe matokeo yake wametufanya wote tuonekane vichaa..

Safari hii lazima tudeal nao parrallel and perpendicular
Matokeo ya nrne
 
Attachments

  • IMG_20251118_141855.jpg
    IMG_20251118_141855.jpg
    95.4 KB · Views: 25
Back
Top Bottom