PostGE2025 Ombi kwa Serikali; Baada ya majibu ya Tume ya Uchunguzi hiyo CHADEMA inayoshirikiana na TEC ifutiwe usajili wake

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
๐ƒ๐ ๐–๐จ๐ซ๐ฅ๐ ๐ˆ๐ฅ๐ข๐ฏ๐ฒ๐จ๐ณ๐ข๐ฆ๐š ๐๐ข๐ฅ๐ข ๐œ๐ก๐š๐Ÿ๐ฎ ๐ณ๐š ๐“๐„๐‚ ๐๐š๐ง๐๐š๐ซ๐ข ๐ฒ๐š ๐ƒ๐š๐ซ, ๐ง๐š ๐ก๐ฎ๐จ ๐ฎ๐ค๐š๐ฐ๐š ๐ง๐๐ข๐จ ๐ฆ๐ฐ๐š๐ง๐ณ๐จ ๐ฐ๐š ๐œ๐ก๐ฎ๐ค๐ข.
Tangu mwaka 1957, TEC imekuwa ikiishi kwenye kivuli cha nguvu na heshima. Machoni pa umma, ni taasisi ya kiroho inayohubiri maadili na utulivu wa taifa.

Lakini ndani ya kuta zake zenye utulivu, kulijengwa mfumo wa siri uliounganisha dini, biashara, na siasa, mfmo uliotengeneza mabilioni chini ya kivuli cha sadaka na misaada.

Mwaka 2022, serikali ilipoanza mazungumzo na kampuni ya kimataifa ya usafirishaji ya DP World kwa ajili ya kuendesha Bandari ya Dar es Salaam, TEC iliona tishio lisiloelezeka.

Kwa muda mrefu, bandari hiyo ilikuwa kitovu cha biashara zake zisizo rasmi, makontena yaliyosafiri chini ya majina ya taasisi za dini, yakiwa yamejaa โ€œvifaa vya misaadaโ€ vilivyopokea msamaha wa kodi.

Lakini ndani yake kulikuwa bidhaa zenye thamani kubwa, dawa za kulevya, vifaa vya kielektroniki vya magendo, na hata fedha taslimu zilizotoka kwenye mitandao ya kifedha ya kimataifa.

Mfumo wa TEC ulikuwa umejikita ndani ya serikali katika vitengo vingi vyeti kwa lengo tu la kusaidia harakati na michongo ya TEC. Wafanyakazi wa umma waliokuwa washirika walihudhuria ibada za kifahari, walibarikiwa hadharani, nyuma ya pazia wakiwa walinzi wa maslahi ya mtandao huo wakinyonyaji.

Mikataba ya ujenzi, usafirishaji, na forodha ilipangwa kupitia โ€œmiradi ya kijamiiโ€ ya TEC, huku ripoti za ukaguzi zikiwa haziyaoni haya yote.

Kuibuka kwa DP World kulikuwa kama kengele ya hatari. Kampuni hiyo iliahidi mfumo wa kisasa wa kidigitali wa kufuatilia mizigo, teknolojia ambayo ingeweka kila shehena wazi kwa mamlaka za kimataifa.

Kwa TEC, hili halikuwa jambo dogo, lilikuwa tishio kwa mfumo mzima uliowajengea nguvu na utajiri kwa miongo kadhaa.

Lakini wakati upepo wa mabadiliko ukivuma, Rais Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani akiwa na maono mapya. Alisisitiza uwazi, ufanisi, na mageuzi ya sekta ya bandari ili Tanzania iwe kitovu cha biashara cha Afrika Mashariki.

Wakati wengi waliona hatua hiyo kama mapinduzi ya kiuchumi, kwa baadhi ya watu ndani ya TEC, ilikuwa ni vita.

Vita vya waziwazi dhidi ya serikali ya Rais Samia Suluhu vikaanza, mimbari zikaanza kuhubiri kuhusu โ€œuhuru wa kiuchumiโ€ na โ€œulinzi wa rasilimali za taifa,โ€ huku nyuma ya pazia barua zikipelekwa kwa viongozi wa serikali, zikishinikiza kuahirishwa kwa makubaliano ya DP World.

Wengine wanasema hata baadhi ya wanasiasa waliokuwa na uhusiano wa karibu na TEC walitumia uzito wao ndani ya bunge kupinga mkataba huo kwa hoja za kizalendo, ilhali nia halisi ilikuwa kulinda mtandao wa siri.

Hata hivyo, chini ya uongozi thabiti wa Rais Samia, serikali haikurudi nyuma. Mabadiliko ya kidigitali yaliendelea kutekelezwa, na mifumo ya kidhibiti mizigo ikawekwa, hatua iliyofichua mambo mengi yaliyokuwa yakifichwa kwa jina la dini. TEC ilitetemeka.

Na huu ndio ulikuwa mwanzo wa chuki kati ya TEC na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Mabadiliko yaliyokuwa yakiletwa kupitia mageuzi ya bandari yalitikisa mizizi ya mtandao uliokuwa umezoea kufanya kazi gizani kwa miaka mingi.

Kampuni nyingi zilizo chini ya mwavuli wa taasisi hiyo ya kidini zilianza kupoteza vibali, akaunti zikagandishwa, na washirika wao serikalini wakaanza kuogopa kivuli chao wenyewe.

Kama ilivyokuwa kwa nguvu yoyote inayokataa kuondoka, TEC ilianza kutumia silaha yake kuu ya ushawishi, waraka baada ya waraka kila siku zilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye majukwaa ya yao ya dini, baadhi yakihubiri โ€œuhuru wa taifa,โ€ mengine yakilalamikia โ€œudikteta .โ€

Kila sentensi ilikuwa na lengo moja, kugeuza imani kuwa kivuli cha upinzani.
Ndani ya kumbi za siri, mikutano ilifanyika kati ya maafisa wa serikalini wenye maslahi na TEC, wakijadili njia za kuvujisha taarifa, kudhoofisha kazi za serikali, na kuibua taharuki.

Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, iliyoamini katika uwazi na mageuzi, haikuogopa. TEC ikaona wazi zama zao za ushawishi zimeanza kufika ukomo, na hapa ndipo chuki ikazaliwa kwa kiwango kikubwa sana.

Kila mvutano, kila taharuki unayoiona leo, ni matokeo ya mnyororo ulioanza tangu mwaka 2022, pale mazungumzo ya DP World (DPW) yalipoanza rasmi. Ilikuwa ni kipindi ambacho TEC imezoea kuendesha mambo kinyume na sheria, baada ya kuona mabadiliko yakija kwa kasi kama kwenye teknolojia hasa ukaguzi wa kidigitali na uwazi wa kifedha, kwa TEC, huu ulikuwa mwanzo wa mwisho wao.

Hali ilizidi kuwa mbaya zaidi mwaka 2025, baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumchagua tena Rais Samia Suluhu Hassan kama mgombea wao wa urais. Ndipo hofu ikazidi kushika mizizI.

Waliamini kwamba, endapo angeendelea kuongoza, wangekuwa na hali mbaya zaidi, kwani wao tayari wana mtu wao waliyetegemea angeingia mwaka 2025, hii iliwauma sana.

Hizi vurugu zote na machafuko yaliyotokea na ambayo yanaendelea kupangwa muda huu, hayana uhusiano wowote na ukombozi wa nchi, uhuru, ulinzi wa rasilimali za Tanzania wala kupinga rushwa na utekaji, bali ni azma ya Kanisa Katoliki chini ya TEC kumuondoa madarakani Rais Samia Suluhu ili waweze kutimiza malengo yao ya wizi na ufisadi chini ya mwamvuli wa dini.

KATAA AGENDA ZA MAKANISA NA MAASKOFU ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Friends and Our Enemies

hivi unadhani kutenda na kusimamia haki na sheria ni jambo la masikhara?Hata JF kuna rules and regulations,cha ajabu sasa tukianzisha bakora dhidi ya TEC zikiwachoma wanazifuta, ingekuaje mngekuwa mnaongoza dola mngekuwa na uvumilivu?

"In life there are rules,and if not we live with animals"...Dante...
Tuhusike na kichwa cha habari hapo juu.

Kwa kuwa upo ushahidi mwingi hata wa picha mjongeo ambapo viongozi wa chadema akiwemo. Tundu Lisu na John Heche wakiongea kuhamasisha fujo na vurugu kwa kusema watakinukisha na kusema pia wako determined kuhakikisha uchaguzi haufanyiki na wameshaweka mipango yao hiyo kwa kuongea na viongozi wao wa dini kwa nyakati tofauti tofauti.

Ombi letu kwa serikali ni kwamba,kwa kuwa mmeshaunda Tume huru kufanya uchunguzi basi hiki chama cha chadema hakina manufaa kwa demokrasia na maendeleo ndani ya nchi hii,kama. Vile yalivyofutwa makanisa ya gwajima mchochezi basi ifanye hima na haraka kukifuta chama hiki.

Na TEC wameshajivua nguo wao wenyewe, nia yao ovu ya kutaka kuitumbukiza nchi hii kwenye genocide kama walivyofanya huko Rwanda 1994 imefeli.

Sisi tutailinda amani ya nchi hii kwa wivu mkubwa kama vile ambavyo wazee wetu walivyopigania uhuru wa nchi hii wakati huo TEC wakiwakumbatia wakoloni.
Big shoo kwanini unawachukia watu wanaopractise constitutional rights? Kama wanamakosa weka bayana hapa. Ila usijifiche ktk chuki zisizo na msingi.
Suala la kukinukisha kesi iko mahakamani si watamnyonga Lisu akipatikana na hatia why unapata butt hurt? Kesi inaendelea.

Vita ya kidini ni mbaya sana maana ikikolea itaingiza mamluki kutoka nchi za nje.
Kama una macho US anatafuta legitimacy ya kuingia vitani huko Nigeria kuwalinda wakristo hivi huoni kuwa itakuwa shida kwa wanaigeria wote?

Hapa unaongea kwa chuki sana. Lakini pamoja unajiita big lakini haufikiri kwa huo ubig.
Unafikiri wazee wako tu ndiyo walipigania uhuru?
Wazazi wetu wote fought and died for Tanganyika and unlucky for me, my family lost our ancestor land for fighting against Germans. So tia maoni usitugawe kwa kisingizio chochote.
 
Bila kusahau kuifutiq bakwatq usajili
 
Mimi nimekataa kutolewa kwenye reli na karata ya udini.

Huyu kijana alipigwa risasi mguuni kitu cha ajabu ni kuwa askari wa policcm wanamburuza na kuendelea kumpiga , hana silaha haezi kujitetea na anavuja damu.

Samia alisema askari wa CCM hawakosi shabaha tatu , hivyo waliohusika ni CCM na hapo unaona vijana wa CCM wakishirikiana na policcm kumburuza na kumpiga huyo kijana.

Adui yetu nambari moja ni Samia muuaji na CCM yake msitutoe kwenye reli.

Hao askari sio wa TEC na wala TEC wala jumuiya ya wasio na dini, au jumuiya ya waislamu ndio ilisema watu wapigwe risasi kiholela.

TEC, BAKWATA, Atheist hawatopanda kizimbani ICC, kizimbani atapanda Samia muuaji na genge lake la akina Stergomena Tax , Wambura , Bashungwa

Muliro, Mafwele na wengineo.

Mimi nimekataa kutoka kwenye reli
 
Tutaanza kwanza kuuona.mwisho wa wachochezi chadema kama tulivyoona wa makanisa ya gwajima

Hatucheki na kenge yeyote sasa,maana tumecheka sana na vichaa badala ya kuwapeleka mirembe
Jopo la Chakwela likitua na Kuja kutoa majibu basi tarajia Chama dola kuaibika, maana report itakuja kutoka Chama dola kina miliki makundi ya wauwaji na watekaji
 
Friends and Our Enemies

hivi unadhani kutenda na kusimamia haki na sheria ni jambo la masikhara?Hata JF kuna rules and regulations,cha ajabu sasa tukianzisha bakora dhidi ya TEC zikiwachoma wanazifuta, ingekuaje mngekuwa mnaongoza dola mngekuwa na uvumilivu?

"In life there are rules,and if not we live with animals"...Dante...
Tuhusike na kichwa cha habari hapo juu.

Kwa kuwa upo ushahidi mwingi hata wa picha mjongeo ambapo viongozi wa chadema akiwemo. Tundu Lisu na John Heche wakiongea kuhamasisha fujo na vurugu kwa kusema watakinukisha na kusema pia wako determined kuhakikisha uchaguzi haufanyiki na wameshaweka mipango yao hiyo kwa kuongea na viongozi wao wa dini kwa nyakati tofauti tofauti.

Ombi letu kwa serikali ni kwamba,kwa kuwa mmeshaunda Tume huru kufanya uchunguzi basi hiki chama cha chadema hakina manufaa kwa demokrasia na maendeleo ndani ya nchi hii,kama. Vile yalivyofutwa makanisa ya gwajima mchochezi basi ifanye hima na haraka kukifuta chama hiki.

Na TEC wameshajivua nguo wao wenyewe, nia yao ovu ya kutaka kuitumbukiza nchi hii kwenye genocide kama walivyofanya huko Rwanda 1994 imefeli.

Sisi tutailinda amani ya nchi hii kwa wivu mkubwa kama vile ambavyo wazee wetu walivyopigania uhuru wa nchi hii wakati huo TEC wakiwakumbatia wakoloni.
Kuna mtu Bado ananyongorota TEC pigeni kichwan Tena
 
Katika wakwanza kujifuta yafaa iwe sirikali yenyewe kwanza halafu iangaliwe wengine

Kabla hujafikisha hayo maoni yako utangulize haya ya kuwa kabla ya kufuta usajili wowote lilelichama linaloitia kiberiti nchi hii ama kwa kujua ama kwa kufuga chawa watangulie kujifuta wao,kabla ya kuleta upupu humu!
 
Friends and Our Enemies

hivi unadhani kutenda na kusimamia haki na sheria ni jambo la masikhara?Hata JF kuna rules and regulations,cha ajabu sasa tukianzisha bakora dhidi ya TEC zikiwachoma wanazifuta, ingekuaje mngekuwa mnaongoza dola mngekuwa na uvumilivu?

"In life there are rules,and if not we live with animals"...Dante...
Tuhusike na kichwa cha habari hapo juu.

Kwa kuwa upo ushahidi mwingi hata wa picha mjongeo ambapo viongozi wa chadema akiwemo. Tundu Lisu na John Heche wakiongea kuhamasisha fujo na vurugu kwa kusema watakinukisha na kusema pia wako determined kuhakikisha uchaguzi haufanyiki na wameshaweka mipango yao hiyo kwa kuongea na viongozi wao wa dini kwa nyakati tofauti tofauti.

Ombi letu kwa serikali ni kwamba,kwa kuwa mmeshaunda Tume huru kufanya uchunguzi basi hiki chama cha chadema hakina manufaa kwa demokrasia na maendeleo ndani ya nchi hii,kama. Vile yalivyofutwa makanisa ya gwajima mchochezi basi ifanye hima na haraka kukifuta chama hiki.

Na TEC wameshajivua nguo wao wenyewe, nia yao ovu ya kutaka kuitumbukiza nchi hii kwenye genocide kama walivyofanya huko Rwanda 1994 imefeli.

Sisi tutailinda amani ya nchi hii kwa wivu mkubwa kama vile ambavyo wazee wetu walivyopigania uhuru wa nchi hii wakati huo TEC wakiwakumbatia wakoloni.
Msemaji wa Samia mshauri anaweza kuifuta Chadema, TEC, TLS ukiweza jitoe SADC, UN, USA, AU.

Awaue vijana, wanawake, watoto wote wa Tanganyika choma, ficha, tupa maporini maiti zao.

Usifanye biashara na SA, USA, EU ili Samia na genge lako mbaki madarakani.

Huwezi kushindana na asili na haki za binadamu na ubinadamu.
 
Waifite tu, kwani kuna mtu kaandikwa chadema kwenye paji la uso?

Vita ya ccm, polisi, wanaojiita walinzi wa ccm na wananchi iko pale pale.

Usidhani kuna mtu anakula na kunywa chadema, ifuteni tu muone kama itakupunguzieni homa.
 
Chawa anaanzisha uzi kisha ana comment mwenyewe kama sio utaahira ni nini..๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
 
Friends and Our Enemies

hivi unadhani kutenda na kusimamia haki na sheria ni jambo la masikhara?Hata JF kuna rules and regulations,cha ajabu sasa tukianzisha bakora dhidi ya TEC zikiwachoma wanazifuta, ingekuaje mngekuwa mnaongoza dola mngekuwa na uvumilivu?

"In life there are rules,and if not we live with animals"...Dante...
Tuhusike na kichwa cha habari hapo juu.

Kwa kuwa upo ushahidi mwingi hata wa picha mjongeo ambapo viongozi wa chadema akiwemo. Tundu Lisu na John Heche wakiongea kuhamasisha fujo na vurugu kwa kusema watakinukisha na kusema pia wako determined kuhakikisha uchaguzi haufanyiki na wameshaweka mipango yao hiyo kwa kuongea na viongozi wao wa dini kwa nyakati tofauti tofauti.

Ombi letu kwa serikali ni kwamba,kwa kuwa mmeshaunda Tume huru kufanya uchunguzi basi hiki chama cha chadema hakina manufaa kwa demokrasia na maendeleo ndani ya nchi hii,kama. Vile yalivyofutwa makanisa ya gwajima mchochezi basi ifanye hima na haraka kukifuta chama hiki.

Na TEC wameshajivua nguo wao wenyewe, nia yao ovu ya kutaka kuitumbukiza nchi hii kwenye genocide kama walivyofanya huko Rwanda 1994 imefeli.

Sisi tutailinda amani ya nchi hii kwa wivu mkubwa kama vile ambavyo wazee wetu walivyopigania uhuru wa nchi hii wakati huo TEC wakiwakumbatia wakoloni.
Hutaki TEC ifutwe mbaki BAKWATA peke yenu?
 
Attachments

  • 2c1ae892bb1472a686c725f2c0bc4652.mp4
    17.7 MB
  • 24c09343c7c025dbef1541fed5b80166.mp4
    6.9 MB
Big shoo kwanini unawachukia watu wanaopractise constitutional rights? Kama wanamakosa weka bayana hapa. Ila usijifiche ktk chuki zisizo na msingi.
Suala la kukinukisha kesi iko mahakamani si watamnyonga Lisu akipatikana na hatia why unapata butt hurt? Kesi inaendelea.

Vita ya kidini ni mbaya sana maana ikikolea itaingiza mamluki kutoka nchi za nje.
Kama una macho US anatafuta legitimacy ya kuingia vitani huko Nigeria kuwalinda wakristo hivi huoni kuwa itakuwa shida kwa wanaigeria wote?

Hapa unaongea kwa chuki sana. Lakini pamoja unajiita big lakini haufikiri kwa huo ubig.
Unafikiri wazee wako tu ndiyo walipigania uhuru?
Wazazi wetu wote fought and died for Tanganyika and unlucky for me, my family lost our ancestor land for fighting against Germans. So tia maoni usitugawe kwa kisingizio chochote.
Unajipa shida sana kuelewesha MPUMBAVU ambaye akili yake inawaza TENDE za Msaada
 
Back
Top Bottom