APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 292
Kaka Paschal nikiwaza fedha zilizopotea kwenye chaguzi za marudio 2015-2020 hapo kati kati wakati kuna shule huko maeneo mbalimbali zina miundo mbinu mibovu.Wakati huo huo kuna fedha zinatumika kurudia uchaguzi ili mtu fulani tu ameamua kuhama chama hii ni too personalNaunga mkono hoja
P
Kwa hiyo 2020 -2025 tusitegemee chaguzi za marudio za kama zile za 2015-2020Ukihama chama huruhusiwi kugombea mpaka ipite miaka miwili kwa uelewa wangu (kama nakosea nisahihishwe). Hata hao wanaohama sasa au baada ya Bunge kuvunjwa hawataweza kugombea iwe ubunge au urais hadi watimize miaka miwili katika vyama vyao vipya.
Naunga mkono hojaKaka Paschal nikiwaza fedha zilizopotea kwenye chaguzi za marudio 2015-2020 hapo kati kati wakati kuna shule huko maeneo mbalimbali zina miundo mbinu mibovu.Wakati huo huo kuna fedha zinatumika kurudia uchaguzi ili mtu fulani tu ameamua kuhama chama hii ni too personal