Mkuu Skype binafsi huvutiwa sana na mpangilio wako wa lugha.....back to the topic, nimegundua kuwa kumbe intarahamwe huwa wapweke sana pindi wasaliapo wenyewe kwenye kile kiota maalum cha uumbaji wa sheria mama.
Mkuu, nashukuru sana hapo kwenye rangi ya samawati ila napenda kujifunza zaidi ili niwe na wigo mpana ktk utumizi wa lugha hii adhimu ya Kiswahili. Kwingineko naweza kusema kua ktk suala la interahamwe mawazo yako yameshabihiana sana na mawazo yangu ila tuvute subira maana subira yavuta heri, huleta kilicho mbali.