Ombi kwa Sitta, ongea na UKAWA warudi kwa faida ya taifa zima, katiba ni ya wote sio upande mmoja tu

Ombi kwa Sitta, ongea na UKAWA warudi kwa faida ya taifa zima, katiba ni ya wote sio upande mmoja tu

Mkuu Skype binafsi huvutiwa sana na mpangilio wako wa lugha.....back to the topic, nimegundua kuwa kumbe intarahamwe huwa wapweke sana pindi wasaliapo wenyewe kwenye kile kiota maalum cha uumbaji wa sheria mama.

Mkuu, nashukuru sana hapo kwenye rangi ya samawati ila napenda kujifunza zaidi ili niwe na wigo mpana ktk utumizi wa lugha hii adhimu ya Kiswahili. Kwingineko naweza kusema kua ktk suala la interahamwe mawazo yako yameshabihiana sana na mawazo yangu ila tuvute subira maana subira yavuta heri, huleta kilicho mbali.
 
Mkuu hongera sana kwa uzalendo huu, sikudhania kutokana na kufuatilia post zako za mara kwa mara kama ungeandika ulichoandika, God bless my country.
 
MUNGU MKUBWA japo Sina hakika kama kweli ni Lukosi huyu karejewa na ufahamu.

Wapo wengi wenye mawazo na ufahamu mzuri kama Lukosi ila wanakosa UTHUBUTU. Labda huyu kwa sababu yuko nchi ya watu, lakini hata hivyo ukweli umeoneshwa ktk post yake kwamba anaona demokrasia inakanyagwa. Mnyalukolo (Mwalukosi) ulonzile, avanyakupulika vapulike.
 
Mkuu tatizo wengine wanaogopa kukata kuti walilokalia wakati mimi sijakalia kuti lolote.
 
Mwiaho wa siku Watanzania waliobaki wachache wanaodhani katiba ni ya CCM wataungana na Lukosi katika kupigania haki dhidi ya dhuluma kwenye mchakato wa kupata katiba mpya
 
Back
Top Bottom