Mkuu Skype binafsi huvutiwa sana na mpangilio wako wa lugha.....back to the topic, nimegundua kuwa kumbe intarahamwe huwa wapweke sana pindi wasaliapo wenyewe kwenye kile kiota maalum cha uumbaji wa sheria mama.
MUNGU MKUBWA japo Sina hakika kama kweli ni Lukosi huyu karejewa na ufahamu.
Mkuu tatizo wengine wanaogopa kukata kuti walilokalia wakati mimi sijakalia kuti lolote.Wapo wengi wenye mawazo na ufahamu mzuri kama Lukosi ila wanakosa UTHUBUTU. Labda huyu kwa sababu yuko nchi ya watu, lakini hata hivyo ukweli umeoneshwa ktk post yake kwamba anaona demokrasia inakanyagwa. Mnyalukolo (Mwalukosi) ulonzile, avanyakupulika vapulike.