Hili ni ombi kwa wanao husika tarehe mosi mwenzi wa tatu mwezi mtukufu wa ramadhani unaweza kuanza rasmi.
1. Mishahara ya watumishi itoke mapema ili waweze kupangilia bajeti ya mwezi mzima kununua bidhaa ya mwezi mtukufu mapema.
2. Kuongeza bei ya vitu muhimu ni Dhambi kwahiyo acheni tabia ya kupaishwa bei ya viazi miongo sukali tende nk.
3. Waajiliwa peeni watumishi wenu muda wa kufanya ibaada nakutoka kazini mapema kwa kuzingatia utukufu wa mwezi huu.
4. Nyie msiofunga acheni kula chakula hadharani tuvumiliane kipindi hiki sie sote ni jamii moja kwa imani tofauti.
Ahsanteni.