Kwani wewe hujui kwamba sie majirani na ndugu, kwa mfano jirani yako akiwa ana msiba huwezi kuzima muziki wako hapo nikuingilia uhuru wako au ni ustaarabu tu?Hapo kwenye kutokula hadharani ni kuingilia uhuru wa watu
Ustaarabu haulazimishwi ni hiyari ya mtu lakini ulivyoandika ni kama unawa commandKwani wewe hujui kwamba sie majirani na ndugu, kwa mfano jirani yako akiwa ana msiba huwezi kuzima muziki wako hapo nikuingilia uhuru wako au ni ustaarabu tu?
Na ninyi msianze zile za kusaka watu wanakula ambao sio wa Imani yenu. Fungeni ninyi msilazimishe wasiohusika kufungaIli ni ombi kwa wanao husika tarehe mosi mwenzi wa tatu mwezi mtukufu wa ramadhani unaweza kuanza rasimi.
1.mishahara ya watumishi itoke mapema ili waweze kupangilia bajeti ya mwezk mzima kununua bidhaa ya mwezi mtukufu mapema.
2. Kuungeza bei ya vitu muhimu ni Dhabi kwahiyo acheni tabia ya kupaushwa bei ya viazi miongo sukali tende nk.
3. Waajiliwa peeni watumishi wenu mdaa wa kufanya ibaada nakutoka kazini mapema kwa kuzingatia utukufu wa mwezi hu.
4. Nyie msio funga acheni kula chakula hadharani tuvumiliane kipindi hiki sie sote ni jamii moja kwa imani tofauti.
Ahsanteni

Huo mwezi hauna utukufu wowote, mudy kawachota akili 😅Ili ni ombi kwa wanao husika tarehe mosi mwenzi wa tatu mwezi mtukufu wa ramadhani unaweza kuanza rasimi.
1.mishahara ya watumishi itoke mapema ili waweze kupangilia bajeti ya mwezk mzima kununua bidhaa ya mwezi mtukufu mapema.
2. Kuungeza bei ya vitu muhimu ni Dhabi kwahiyo acheni tabia ya kupaushwa bei ya viazi miongo sukali tende nk.
3. Waajiliwa peeni watumishi wenu mdaa wa kufanya ibaada nakutoka kazini mapema kwa kuzingatia utukufu wa mwezi hu.
4. Nyie msio funga acheni kula chakula hadharani tuvumiliane kipindi hiki sie sote ni jamii moja kwa imani tofauti.
Ahsanteni
Hamia Saudi Arabia maana mshahara tunaosubiri unatoka kwenye kodi ya pombe na sigaraHili ni ombi kwa wanao husika tarehe mosi mwenzi wa tatu mwezi mtukufu wa ramadhani unaweza kuanza rasmi.
1. Mishahara ya watumishi itoke mapema ili waweze kupangilia bajeti ya mwezi mzima kununua bidhaa ya mwezi mtukufu mapema.
2. Kuongeza bei ya vitu muhimu ni Dhambi kwahiyo acheni tabia ya kupaishwa bei ya viazi miongo sukali tende nk.
3. Waajiliwa peeni watumishi wenu muda wa kufanya ibaada nakutoka kazini mapema kwa kuzingatia utukufu wa mwezi huu.
4. Nyie msiofunga acheni kula chakula hadharani tuvumiliane kipindi hiki sie sote ni jamii moja kwa imani tofauti.
Ahsanteni.
Hili ni ombi kwa wanao husika tarehe mosi mwenzi wa tatu mwezi mtukufu wa ramadhani unaweza kuanza rasmi.
1. Mishahara ya watumishi itoke mapema ili waweze kupangilia bajeti ya mwezi mzima kununua bidhaa ya mwezi mtukufu mapema.
2. Kuongeza bei ya vitu muhimu ni Dhambi kwahiyo acheni tabia ya kupaishwa bei ya viazi miongo sukali tende nk.
3. Waajiliwa peeni watumishi wenu muda wa kufanya ibaada nakutoka kazini mapema kwa kuzingatia utukufu wa mwezi huu.
4. Nyie msiofunga acheni kula chakula hadharani tuvumiliane kipindi hiki sie sote ni jamii moja kwa imani tofauti.
Ahsanteni.
We ni nyumbu yaan niache kula kisa wewe umefungaHili ni ombi kwa wanao husika tarehe mosi mwenzi wa tatu mwezi mtukufu wa ramadhani unaweza kuanza rasmi.
1. Mishahara ya watumishi itoke mapema ili waweze kupangilia bajeti ya mwezi mzima kununua bidhaa ya mwezi mtukufu mapema.
2. Kuongeza bei ya vitu muhimu ni Dhambi kwahiyo acheni tabia ya kupaishwa bei ya viazi miongo sukali tende nk.
3. Waajiliwa peeni watumishi wenu muda wa kufanya ibaada nakutoka kazini mapema kwa kuzingatia utukufu wa mwezi huu.
4. Nyie msiofunga acheni kula chakula hadharani tuvumiliane kipindi hiki sie sote ni jamii moja kwa imani tofauti.
Ahsanteni.
Mkuu tuheshimu Imani za wenzetu ili tudumishe amani na utulivu wa nchi yetuhivi ni kwanini hamtaki watu wale mbele yenu?
najua mtu akila mbele yako unaweza kutamani,
lakini naona kama sio sababu ya msingi kwenu, kwasababu ule ni mfungo wa kidini mnauheshimu, sio mfungo binafsi,
halafu kimsingi sio kwamba hamli, mnakula mara mbili kwa siku, tamaa ndogo ndogo hamuwezi kupata...
Chuki zimekutawala ila huna la kufanya huo ni mwezi mtukufu unaheshimika dunia nzima hata uko ulaya kuna kua na mabadiliko katika mfumo mzima.Huo mwezi hauna utukufu wowote, mudy kawachota akili [emoji28]
Mbona wakatoliki wakifunga kweny mwezi wao hawaombi special requirements au nyie ndio watu sana.
Eti tusile hadharani, unafunga alaf bado mroho wa chakula, nyie funga yenu ni bure[emoji28]
Mbona papuchi ya mchepuko wako huichakatii hadharani jitahidi uhuru wako usiwe kero Kwa wengineHapo kwenye kutokula hadharani ni kuingilia uhuru wa watu, yani maamuzi yako ya kutokula yazuie wengine?
Wanapenda kujipa umuhimu kama wale Houth wazee wa kiki.Hoja zote ni za kijinga, hayo ni maswala binafsi, kati ya mtu na Mungu wake, siyo mambo ya jumuiya au nchi,
Hii ni dalili ya ujinga uliokomaa pia 🙂🙂🙂Hili ni ombi kwa wanao husika tarehe mosi mwenzi wa tatu mwezi mtukufu wa ramadhani unaweza kuanza rasmi.