K kipenseli2021 JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 1,390 Reaction score 1,431 Feb 22, 2025 #181 Tayari
T thundercat8 Senior Member Joined Nov 25, 2015 Posts 172 Reaction score 384 Feb 22, 2025 #182 much know said: Yaani anafunga lakini bado anatamaa akiona mtu anakula Click to expand... Na ukizingatia wanakula milo miwili kabisa
much know said: Yaani anafunga lakini bado anatamaa akiona mtu anakula Click to expand... Na ukizingatia wanakula milo miwili kabisa
DR VRM JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 853 Reaction score 1,040 Feb 22, 2025 #183 thundercat8 said: Na ukizingatia wanakula milo miwili kabisa Click to expand... ..ni Milo mitatu ya nguvu, dyo maana baadhi ya waislamu hawafungi kwasababu ni expensive sana, misosininachukua bajeti kubwa kuliko miezi ya kawaida
thundercat8 said: Na ukizingatia wanakula milo miwili kabisa Click to expand... ..ni Milo mitatu ya nguvu, dyo maana baadhi ya waislamu hawafungi kwasababu ni expensive sana, misosininachukua bajeti kubwa kuliko miezi ya kawaida
Yesu Anakuja JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 12,675 Reaction score 25,924 Feb 22, 2025 #184 Monetary doctor said: Mimi sipo hapa kubishana tambua hivyo Click to expand... ila upo hapa kueleweshwa.
Monetary doctor said: Mimi sipo hapa kubishana tambua hivyo Click to expand... ila upo hapa kueleweshwa.
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 3,711 Reaction score 6,762 Feb 22, 2025 #185 Yesu Anakuja said: ila upo hapa kueleweshwa. Click to expand... Fanya hivi nitumie 10k nikale mtumishi wa Mungu, afu nahitaji uniombee 🙏
Yesu Anakuja said: ila upo hapa kueleweshwa. Click to expand... Fanya hivi nitumie 10k nikale mtumishi wa Mungu, afu nahitaji uniombee 🙏