Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Nikiwa kama mwanachama na mwandamizi wa tawi la Yanga, Magufuli Terminal napenda kumfikishia Rais Eng.Hersi Said maazimio tuliyoafikiana wanachama wa tawi la Yanga, Magufuli Terminal kuwa tunahitaji kukuona Master Charles Boniface Mkwasa akiiongoza timu yetu katika kampeni ya kuutetea ubingwa wa Ligi kuu ya Tanzania na ubingwa wa kombe la Shirikisho la Azam msimu wa 2023/2024.
Tunaamini Mkwasa ndiye kocha pekee mzalendo ,mweledi na mwenye uchungu na Yanga Africa sio hao wanaokuja kutafuta CV na kutuacha katika taharuki kubwa tukiwa hatujui nini cha kufanya mbele ya mahasimu wetu Simba Sc.