Angalau tumeshapooza machungu ya kukosa makombe ya ndani kwa miaka minne 2018 hadi 2021
Kwa sasa malengo yapo zaidi CAF interclubs na ninaomba sana turudi kule kule tu caf shirikisho, huko caf mabingwa wala tusidanganyane waarabu wapo mbali mnoooo!!
Mwakani nguvu ziwekwe zaidi kwenye ligi kuu na caf, hayo makombe mengine tusiyakamie