Ombi la Dharula : CAF ichunguze haraka vyumba vya kubadilishia nguo kwenye uwanja wa Martyrs Kinshasa

Hahahaaaaaa! Eti napinga vibaya mno! Hahahaaaa kweli wewe ni mbumbumbu Mkuu! Unadhan Caf hawana chakufanya mpaka waanze kuchunguza hisia zako? Waambie TFF waanze kuchunguza mchezo wenu na Mashujaa kwanza maana pia mlicheza mpira mbovu sana kisha wachunguze Azam maana hata fainali ya mapinduzi mlirukaruka tu uwanjani.

By the way wewe ni mpinzni wa kila kitu hata serikali inayokufanya uandike uozo wako unaipinga kila iitwayo Leo.

Ila unahaki ya kulalamika goli tano zinauma I see asikwambie MTU.

Wewe ni mwanamke najua unajua shughuli ya goli tano ikoje inahusisha mpaka kuchubuliwa ..hahahaaaa
 
hayo ya kuchubuliwa ya nini tena mkuu ?
 
Kwan we ulijua AS Vita in km Ndanda au!?
Washaingia Mara ngapi fainali Champion?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hayo ya kuchubuliwa ya nini tena mkuu ?
Utakuwa umeyaelewa vyema. Punguza upopoma na uhuja plus umbumbumbu, uwe unatumia na akili zako kidogo hata kwa 30% maana upo kujazwa tu..

Za kuambiwa uwe unachanganya na za kwako
 
Utakuwa umeyaelewa vyema. Punguza upopoma na uhuja plus umbumbumbu, uwe unatumia na akili zako kidogo hata kwa 30% maana upo kujazwa tu..

Za kuambiwa uwe unachanganya na za kwako
Duh !
 
Simba walipaswa kucheza deep kujilinda zaidi na kutengeneza counter attack

Mechi za Africa ukicheza ugenini hupaswi kukabia kwenye highline kama walivyofanya Simba lazima utafungwa nyingi tu
Al Alhy na Esperansa pamoja na ubabe wao wote wakicheza a ugenini wanapaki basi na kupoteza muda wakitafuta sare wale sio wajinga wanajua mechi za Africa zilivyo

Sasa wewe unaenda kwa As Vita unasema tunaenda kushambulia matokeo yake lazima ule nyingi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaaahaa [emoji23] Au ndo maana Manara kaongea kwa upole alikuwa na mbonji bado??? Duh mikia bwana!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ni Mambo ya kufirika? Walizidiwa sana mpira. Wale vita club walicheza mpira wa kufundishwa tofauti na simba AS VITA HOYEEE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawapendagi ukweli ndo.maana wanamtukana DAUDA hata kama akipost maswala ya familia yake..

[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shaffih dauda juzi aliwaita mashabiki wa simba kuwa ni mashabiki OYA OYA. Yaani chochote kikisemwa wao wamo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…