Igunga leo
Senior Member
- Nov 19, 2016
- 114
- 217
Hahahaaaaaa! Eti napinga vibaya mno! Hahahaaaa kweli wewe ni mbumbumbu Mkuu! Unadhan Caf hawana chakufanya mpaka waanze kuchunguza hisia zako? Waambie TFF waanze kuchunguza mchezo wenu na Mashujaa kwanza maana pia mlicheza mpira mbovu sana kisha wachunguze Azam maana hata fainali ya mapinduzi mlirukaruka tu uwanjani.Upo uwezekano mkubwa sana kwa chumba ambacho timu yetu ya simba ilipewa kuwekewa kitu kibaya , haiwezekani Simba kucheza vile , ni lazima kutakuwa na kitu kimefanyika , hii si ile simba tunayoifahamu , napinga vibaya sana .
Na kwa hili ni lazima timu ya AS VITA ifungiwe maisha , hii michezo ya kupuliza dawa za usingizi kwenye vyumba vya timu pinzani imepitwa na wakati
Nakala - Ismail Aden Rage
By the way wewe ni mpinzni wa kila kitu hata serikali inayokufanya uandike uozo wako unaipinga kila iitwayo Leo.
Ila unahaki ya kulalamika goli tano zinauma I see asikwambie MTU.
Wewe ni mwanamke najua unajua shughuli ya goli tano ikoje inahusisha mpaka kuchubuliwa ..hahahaaaa