kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Kuelekea wapihii tuhuma kubwa sana na kama kuna ukweli hatua kali zichukuliwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana uhakika gani wa ushindi hapa bongo mpaka wakatafute sare ugenini...[emoji23][emoji23]Club bingwa Africa ipo hivyo, Vita na ahly hata wao hawawezi pata ushindi away matokeo mazuri away ni droo, simba alipaswa kupunguza idadi kupata advantage ya H2H kwenda kushambulia away ni utovu wa nidhamu haswa soka la africa
MFA MAJI HAKOSI KUTAPA TAPA[emoji16]Simba tuna timu gani ya kupambana na club kama Vita? Ujue tusitake kuona hako katimu kama Barcelona au Manchester City.
Kwa mpira wa Bongo au Zambia?hii tuhuma kubwa sana na kama kuna ukweli hatua kali zichukuliwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mchungu sana huu Chifu, nakuomba tu uwe makini na hapo unapoishi ili wasiojulikana wasije wakaku-SYRIA tokana na maumivu yao ya kichapo cha mmbwa mwizi kule DRC.Anaongea tu hajui Saoura walichofanywa pale Taifa, mbona hajalalamika au kwa vile mkuki ulikuwa mwilini kwa nguruwe.
Jamaa boya kweli.
KWANI UNAPATA TABU SANA HADI USIKUBALI TU KWA SOKA LA KONGO LIKO JUU MNO KWA UZURI KULIKO SOKA LETU LA MANENOENGI NA MAGAZETINI?Mkuu, game ya jana hatujashambulia na setup ilikuwa defensive zaidi. Kotei, Gyan, mkude, na mabeki, mzamiru. Hawa mi defensive minded players. Maana yake tulikuwa na wachezaji saba wa defence kati ya 11. Na hata kwa kuangalia As Vita walikuwa ktk eneo letu asilimia karibu 80 ya mchezo. Kilichotuponza jana ninkuwa sloo sana na tukipata mpira tunacheza pasi zisizo za maana eneo letu.
Na siku zote kizuri husifiwa, kibaya hupondwa.Tuache visingizio...tumezidiwa uwezo
Kweli kabisa, sijui kwanini Kagera FC huwa anawabishia Simba FC kupiga magoti pale kwetu kwa mchina[emoji848]Kwa mchina kila goti litapigwa.
Kaka unajua nakuvutia picha jnc ulivyokuwa unaandika huu ujumbe kwa umakini hasa hadi nataka kukupa 100%√ kwa jnc unavyotuchana WA TZ makavu laivu.Haji Manara aliwaaminisha kuwa mnaweza kuifunga timu yoyote duniani. Na mlivyo mapopoma mkaamini, sasa kilichowakuta huko Congo ni shambulio la kigaidi.
Poleni, Mpira sio mdomoni. Acheni maneno watanzania. Mpira ni vitendo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vyema kabisa Mpenzi bora wa soka.Simba imeingia hatua ya makundi kibahatibahati
Wakati huo vita walicheza fainali ya caf conf. msimu uliopita
Hapo inahitaji kujua ipi ni timu nzuri ya mwenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
SAFI SAAAAAANA CHIFU.Wabongo kwa visingizio hamjambo! Yanga na Simba hazina viwango vya kimataifa. Hamuwezi pambana na TP Mazembe, Dc Motema pembe na As Vita. Wacongo wapo hatua kumi Mbele yetu.
Okwi umri umeenda sana na Boko, tatizo huwa hatupendi kuyapokea mapungufu yetu badala ya kutanguliza ushabiki na mahaba mbele hasa kwa kila kitu.Acha kuuchafua mpira.Wachezaji mlionao wamechoka wote ni vizee.Mliambiwa mnanunua wahenga mkabisha.Leo mnavuna mlichopanda.Acha uongo.Kila siku mbona mnalia lia? Nendeni CAS mkakate rufaa.Wazee wakulialia.Kila siku nyinyi tuu mnaoonewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana rambi rambi za Mafisango bado hazikupelekwa kwao Congo?Hakika tulizidiwa kila mahali.Kaduguda anatudai cjapati.WaKongo walikumbuka rambirambi za mafisango mara wakasema leo Simba atapata taabu saana.Uongo mtupu babake Simba tulihororoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanzia Congo kwenda kule magharibi mwa Africa kuna njemba zilizoshiba sana kiafya, kiakili hata kimwili tofauti na kwetu hapa TZ.Banyamulenge wa M23 walikuwa wanajitwangia tuu simba watakavyo, kwa hiyo walikuwa wanacheza huku wamesinzia? mipira walikuwa wanaionaje!!?? hakuna timu ya kizembe kama simba, wamekariri kucheza pasi fupi fupi hata wanapokutana na mafundi kama vita.Wao wanajitamba kwenye ukurasa za kijamii za timu mahasimu kama mbabane, nkana na juzi wakaangukia pua kwa vita eti wana KAGERE, CHAMA, BOKO nk wakati wenzao timu nzima imesheheni watu wenye vipaji na phisique ya hali ya juu,, wakati simba wanashindia chips wenzao vita asubuhi wanakula supu ya POPO , mchana ugali na nyama ya NYANI na jioni Ugali na MAPANKI (MIFUPA) ya sangara utawaweza wapi?