Ombi la Dharula : CAF ichunguze haraka vyumba vya kubadilishia nguo kwenye uwanja wa Martyrs Kinshasa

Ombi la Dharula : CAF ichunguze haraka vyumba vya kubadilishia nguo kwenye uwanja wa Martyrs Kinshasa

Club bingwa Africa ipo hivyo, Vita na ahly hata wao hawawezi pata ushindi away matokeo mazuri away ni droo, simba alipaswa kupunguza idadi kupata advantage ya H2H kwenda kushambulia away ni utovu wa nidhamu haswa soka la africa
Wana uhakika gani wa ushindi hapa bongo mpaka wakatafute sare ugenini...[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mpira ule uliocezwa na Vital sioni kama wataweza kutuzuia kuwafunga hata goli 3.
Tulieni muda ukifika itajulikana tu
 
Ila sijui ndivyo tulivyo ,huwa naonaga wachezaji wa bongo wana kimbia kama wananyata vile.sasa wenzetu ni kama wanariadha wa Kenya.mibio mpaka mabeki wanalewa.
 
Mkuu, game ya jana hatujashambulia na setup ilikuwa defensive zaidi. Kotei, Gyan, mkude, na mabeki, mzamiru. Hawa mi defensive minded players. Maana yake tulikuwa na wachezaji saba wa defence kati ya 11. Na hata kwa kuangalia As Vita walikuwa ktk eneo letu asilimia karibu 80 ya mchezo. Kilichotuponza jana ninkuwa sloo sana na tukipata mpira tunacheza pasi zisizo za maana eneo letu.
KWANI UNAPATA TABU SANA HADI USIKUBALI TU KWA SOKA LA KONGO LIKO JUU MNO KWA UZURI KULIKO SOKA LETU LA MANENOENGI NA MAGAZETINI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haji Manara aliwaaminisha kuwa mnaweza kuifunga timu yoyote duniani. Na mlivyo mapopoma mkaamini, sasa kilichowakuta huko Congo ni shambulio la kigaidi.


Poleni, Mpira sio mdomoni. Acheni maneno watanzania. Mpira ni vitendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka unajua nakuvutia picha jnc ulivyokuwa unaandika huu ujumbe kwa umakini hasa hadi nataka kukupa 100%√ kwa jnc unavyotuchana WA TZ makavu laivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuuchafua mpira.Wachezaji mlionao wamechoka wote ni vizee.Mliambiwa mnanunua wahenga mkabisha.Leo mnavuna mlichopanda.Acha uongo.Kila siku mbona mnalia lia? Nendeni CAS mkakate rufaa.Wazee wakulialia.Kila siku nyinyi tuu mnaoonewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Okwi umri umeenda sana na Boko, tatizo huwa hatupendi kuyapokea mapungufu yetu badala ya kutanguliza ushabiki na mahaba mbele hasa kwa kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Banyamulenge wa M23 walikuwa wanajitwangia tuu simba watakavyo, kwa hiyo walikuwa wanacheza huku wamesinzia? mipira walikuwa wanaionaje!!?? hakuna timu ya kizembe kama simba, wamekariri kucheza pasi fupi fupi hata wanapokutana na mafundi kama vita.Wao wanajitamba kwenye ukurasa za kijamii za timu mahasimu kama mbabane, nkana na juzi wakaangukia pua kwa vita eti wana KAGERE, CHAMA, BOKO nk wakati wenzao timu nzima imesheheni watu wenye vipaji na phisique ya hali ya juu,, wakati simba wanashindia chips wenzao vita asubuhi wanakula supu ya POPO , mchana ugali na nyama ya NYANI na jioni Ugali na MAPANKI (MIFUPA) ya sangara utawaweza wapi?
Kuanzia Congo kwenda kule magharibi mwa Africa kuna njemba zilizoshiba sana kiafya, kiakili hata kimwili tofauti na kwetu hapa TZ.

Drogba alikujaga hapa TZ na timu ya Taifa Ivery Coast "Cote D' Voire" na kushangaza Watanzania wengi sana kwa yeye pekee kumtafuna kuku mzima na ugali juu, hapo bado hajashushia maji ya kunywa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom