Ombi la Dharula : CAF ichunguze haraka vyumba vya kubadilishia nguo kwenye uwanja wa Martyrs Kinshasa

Ombi la Dharula : CAF ichunguze haraka vyumba vya kubadilishia nguo kwenye uwanja wa Martyrs Kinshasa

Upo uwezekano mkubwa sana kwa chumba ambacho timu yetu ya simba ilipewa kuwekewa kitu kibaya , haiwezekani Simba kucheza vile , ni lazima kutakuwa na kitu kimefanyika , hii si ile simba tunayoifahamu , napinga vibaya sana .

Na kwa hili ni lazima timu ya AS VITA ifungiwe maisha , hii michezo ya kupuliza dawa za usingizi kwenye vyumba vya timu pinzani imepitwa na wakati

Nakala - Ismail Aden Rage
Mimi pia nilishangaa JS SAOURA kucheza vile, na hata Nkana pia. Lazima uchunguzi wa kina ufanyike.
84b97cc3b445f56d26abebf891ae2a2c.jpg
6951141680d415ffda0d239537f0e4a5.jpg
dd7ba51601b82b76f95cc43b8b35153b.jpg

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Simba hiyo michezo wanaifanya sana pale taifa stadium,ndio maana kila anaecheza nae caf pale taifa uwa wanaregea sana,wale soura walikua wazito miguuni km wamefungwa mawe
Anaongea tu hajui Saoura walichofanywa pale Taifa, mbona hajalalamika au kwa vile mkuki ulikuwa mwilini kwa nguruwe.

Jamaa boya kweli.
 
Manara kishawaanisha hivyo,uwaambi kitu hapo,simba ikawekwe kwenye kundi moja na psg,madrid na man u na bado haiwezi kua underdog,manara akaenda mbali zaidi kwenye kikosi chake bora cha dunia 2018 ndani yake akamuweka chama,na wafuasi wake bado wakaamini kbs chama ni mmoja wachezaji 11 bora hapa duniani!
Huwa nina akili za kujiongoza, na kati ya mashabiki ambao hawadanganywi ni mimi. Simba tuna timu gani ya kupambana na AS Vita? Unategemea Chama na Kagere wenzako wanategemea kila mchezaji.
 
Kwa hiyo nyinyi simba huwa mnawapulizia kina lipuli, stand united n.k. ndo maana mnahofia kupuliziwa?

Mchawi hata akiumwa kichwa kwa njaa ataamini kalogwa wallah
Hizo tabia zipo sana na Simba anazijua, sasa leo asije na povu kama vile Simba ni timu yenye kushinda tu.

Kwa kikosi gani chenye kurudi na ushindi toka nje ya nchi?!!!!
 
Upo uwezekano mkubwa sana kwa chumba ambacho timu yetu ya simba ilipewa kuwekewa kitu kibaya , haiwezekani Simba kucheza vile , ni lazima kutakuwa na kitu kimefanyika , hii si ile simba tunayoifahamu , napinga vibaya sana .

Na kwa hili ni lazima timu ya AS VITA ifungiwe maisha , hii michezo ya kupuliza dawa za usingizi kwenye vyumba vya timu pinzani imepitwa na wakati

Nakala - Ismail Aden Rage
Simba jana walikuwa wazito. Wanakaba kwa macho, free headers, lack of concentration!
 
Mkuu Erythrocyte tukubali matokeo tu

Kilichoiponza simba ni game plan

mechi za Africa mwenyeji ni mfalme so hatukupaswa kwenda na plan ya kushambulia pale Congo

Tulitakiwa tuzuie, then tushambulie kwa kuvizia

Ila yote kwa yote pale kwa mchina sioni kama tutashindwa kumfunga As vita.
Mkuu, game ya jana hatujashambulia na setup ilikuwa defensive zaidi. Kotei, Gyan, mkude, na mabeki, mzamiru. Hawa mi defensive minded players. Maana yake tulikuwa na wachezaji saba wa defence kati ya 11. Na hata kwa kuangalia As Vita walikuwa ktk eneo letu asilimia karibu 80 ya mchezo. Kilichotuponza jana ninkuwa sloo sana na tukipata mpira tunacheza pasi zisizo za maana eneo letu.
 
Upo uwezekano mkubwa sana kwa chumba ambacho timu yetu ya simba ilipewa kuwekewa kitu kibaya , haiwezekani Simba kucheza vile , ni lazima kutakuwa na kitu kimefanyika , hii si ile simba tunayoifahamu , napinga vibaya sana .

Na kwa hili ni lazima timu ya AS VITA ifungiwe maisha , hii michezo ya kupuliza dawa za usingizi kwenye vyumba vya timu pinzani imepitwa na wakati

Nakala - Ismail Aden Rage
Ndio akili za wana ufipa hizi walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Erythrocyte tukubali matokeo tu

Kilichoiponza simba ni game plan

mechi za Africa mwenyeji ni mfalme so hatukupaswa kwenda na plan ya kushambulia pale Congo

Tulitakiwa tuzuie, then tushambulie kwa kuvizia

Ila yote kwa yote pale kwa mchina sioni kama tutashindwa kumfunga As vita.
AS Vita ikirekebisha makosa ya umalizaji, kwa mchina Simba atapigwa kuanzia 3 kwenda juu. Jana AS Vita wangetulia vizuri Simba alikuwa anakufa kama 8 hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo tabia zipo sana na Simba anazijua, sasa leo asije na povu kama vile Simba ni timu yenye kushinda tu.

Kwa kikosi gani chenye kurudi na ushindi toka nje ya nchi?!!!!
Manara anawaharibu watu wa Simba, mi naungana na negativity attitude ya shafii dauda ikizingatiwa itaivusha simba kuliko positivity ya manara
 
Mkuu, game ya jana hatujashambulia na setup ilikuwa defensive zaidi. Kotei, Gyan, mkude, na mabeki, mzamiru. Hawa mi defensive minded players. Maana yake tulikuwa na wachezaji saba wa defence kati ya 11. Na hata kwa kuangalia As Vita walikuwa ktk eneo letu asilimia karibu 80 ya mchezo. Kilichotuponza jana ninkuwa sloo sana na tukipata mpira tunacheza pasi zisizo za maana eneo letu.
Sasa kama mlicheza kulinda mkafungwa tano Siku mkifunguka kushambulia si mtafungwa 10-0../

Mpira wa Tanzania unaathiriwa na maneno kuliko uhalisia. Unaweza ukawa huamini, ila amini nakwambia Haji Manara ndio sumu pale simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watani naona mnajikuna tu.
 
Wabongo kwa visingizio hamjambo! Yanga na Simba hazina viwango vya kimataifa. Hamuwezi pambana na TP Mazembe, Dc Motema pembe na As Vita. Wacongo wapo hatua kumi Mbele yetu.
 
Back
Top Bottom