A
Sauli ndie baadae alikuja kujulikana kama mtume PauloDaudi Mashimo unabii anatoa wapi?
Yule dogo kichaa na tapeli.
Dogo utapeli kaanza zamani sana, laana ya kudhulumu watu tangu akiwa mgambo wa jiji wanamwaga vyakula vya mama lishe, bidhaa za machinga n.k.
Kwa taarifa yako Daudi wakati anafanya hayo alikuwa tayari mlokole anasali kabisa la TAG Ubungo Msewe.Sauli ndie baadae alikuja kujulikana kama mtume Paulo
Jamaaa alikua chinja chinja wakristo
Hata Malaya anaweza kugeuka akatangaza injili galilaya
Sawa mkuu nimekuelewaKwa taarifa yako Daudi wakati anafanya hayo alikuwa tayari mlokole anasali kabisa la TAG Ubungo Msewe.
The only difference he was not priest yet, but an ordinary born again christ believer. Not a self proclaimed prophet.
Siyo kwamba alibadilika akabatizwa na kuwa mlokole baadaye.