A
Anonymous
Guest
OMBI LA KUOMBA MSAADA WA HUDUMA YA MAJI
MTAANI TERRYNITE STREET, SEGEREA MAGEREZA.
Sisi wakazi wa Mtaa wa Terrynite Street, Segerea Magereza, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu upatikanaji wa maji.
Tatizo:
Kwa muda mrefu tumekuwa tukipata maji mara moja tu kwa wiki, siku ya Alhamisi kuanzia saa 4 usiku baada ya muda usiozidi masaa matano wanayafunga. Lakini kwa sasa hata siku hiyo hatuna uhakika nayo. Maji yamepita wiki mbili sasa bila kufika kabisa.
Athari:
Tuna watoto wadogo na wazee ambao wanahitaji maji kila siku.
Tunakosa maji ya kunywa, kupika na kujisafisha.
Hatuna uwezo wa kununua maji ya kwenye Magari kwa sababu bei ni kubwa.
Hali hii inatuweka katika hatari ya magonjwa kama kipindupindu.
Ombi:
Tunaomba kwa unyenyekevu Serikali mwingilie kati haraka. Tupewe ufumbuzi wa kudumu ili tuweze kupata maji safi na salama.
Kiukweli idara ya Maji segerea ni changamoto kubwa sana kwa wananchi.