watajua wapi umuhimu wa internet na wakati wao hawatumii vifaa vyovyote vinavyotumia internet, wao ni mikaratasi tu, ila VPN imetuokoa hahahaha
Chuo cha Shangaz yako ndio kimefunguliwa?Na wewe Tambua hivi karibu vyuo vyote Tanzania wanatumia mitandao ya kijamii hasa WhatsApp kwa ajili ya kujisomea ambapo wanatumiwa notes na vitu vingi.
Sasa haujui wamewatesa
Swal lipi mzee mbn unauliz maswal kama Umebanwa na HajaJibu swali acha kutukana tukana ovyo. Ungeposti wapi maneno yako kipindi JF ilifungiwa na kama JF ingeendelea kufungiwa kama ilivyo mitandao mengine?
hahahaha hata mimi, hata wakitaka kutorudisha kabisa internet sawa tuSikuwahi kujua kazi ya VPN kabla, kwa sasa ndo app yangu muhimu.
hahahaha hata mimi, hata wakitaka kutorudisha kabisa internet sawa tu
Hapo ulipo ushavunjwa sasa unamtisha naniUjinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..
Kitu ambacho si KWELI..
kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu
Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..
kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??
Tumia akil vzr
Ingia BARABARANI... kama huwez tulia
Na Tutawavunjaa
Relax.... CCM ishapita.. kunywa maji mengi punguza StressHapo ulipo ushavunjwa sasa unamtisha nani
Imepita kwenda wapi mkuu? Halafu mimi nipo taiwan sasa hayo yananihusu vipi?Relax.... CCM ishapita.. kunywa maji mengi punguza Stress
Hili ombi yani la msingi sana, sijui linawasilishwaje ili tujibiwe mapema bana, maisha yanedelee tusharidhika basiWanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.
Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.
Mwenzio kafanya utani wewe umekuja na wenge, kama internet iko low ivyo vitu vya maendeleo unavipata wapi?Kabisa mlikua mnashinda kutafuta umbea tu...ukitaka tafuta vitu vya maendeleo vimejaa tele
lakn bado unaweza chart twitter..Imbecile...Muwe mnafanya uchunguzi..hamna kitu kilichozuiwa ila mitandao ya kijamii kupunguza umbea..au Hujui watanzania Tunaongoza kwa umbea AfrikaMwenzio kafanya utani wewe umekuja na wenge, kama internet iko low ivyo vitu vya maendeleo unavipata wapi?
Hahahhaahhaaahahahhaaha.Na utamsikia mwenyewe akisema 'Kwanini mnawazimia internet wananchi wangu wanyoooonge kabisa,ona sasa hata vijana wanaoishi kwa kuuza miziki na movie kwny flash hawawezi kufanya kazi yao kwa sababu hakuna internet,kweli ndg zangu watanzania naomba mniombee sana hii kazi ya urais ni ngumu saaana mpk najuta kwanini nilisukumizwa huku'.
Nimekuja kugundua mbogamboga itaongoza miaka 100 ijayo na zaidi kwa akili hizi. Nikikuambia sina internet ya airtel ,voda na tigo leo ni siku ya 4 huwez kubali,,bila kuwepo kwa hyo internet huko google, zoom, ama google meets nitafikaje? Jingaaaa kabisa weweUjinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..
Kitu ambacho si KWELI..
kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu
Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..
kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??
Tumia akil vzr
Ingia BARABARANI... kama huwez tulia
Na Tutawavunjaa
Mmbea wewe mwenyewe, usitulazmishe wote tuwe na tabia yakolakn bado unaweza chart twitter..Imbecile...Muwe mnafanya uchunguzi..hamna kitu kilichozuiwa ila mitandao ya kijamii kupunguza umbea..au Hujui watanzania Tunaongoza kwa umbea Afrika
HahahahahaahaMmbea wewe mwenyewe, usitulazmishe wote tuwe na tabia yako
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetaniSubiri kwanza wizi na unyang'anyi wa demokrasia kwa kutumia mitutu ya bunduki na vifaru ukamilike ........
Safii sana mkuuUjinga ni kwamba KUAMINI kuwa INTERNET imefungwa..
Kitu ambacho si KWELI..
kilichofungwa ni BAADHI ya MITANDAO YA KIJAMII tu
Huduma zote zinapatikana katika INTERNET..
kama kusoma huwa UNASOMA TWITTER?? au Classroom huw inafanyika FACEBOOK?? au WhatsApp??
Tumia akil vzr
Ingia BARABARANI... kama huwez tulia
Na Tutawavunjaa